Recent content by Liseko

  1. L

    Huyu "mzee bure" aliyetajwa na rais Magufuli ni nani?

    Siyo katili unakosea tafasiri halisi ! Yeye ni msema kweli na siyo mkatili! Sema shida ya sisi hatupendi kusikia ukweli kama ilivyo kawaida wasemavyo kuwa KUWA UKWELI UNAUMA! sasa wenye akiri ndogo ndo hutafasiri kuwa ukatili!
  2. L

    Rais Magufuli kwa utendaji huu tutakupa vipindi kama vya Nyerere

    Acha poor ideology ! Nani alikwambia kujua au kuongea kimombo zaidi ya SAA 1-20 ndo maendeleo! Duh sitegemei kuona unashadadia lugha za watu wakati una national language yako! Mataifa mengine yanafanya kila liwezekanalo kukuza lugha zao wewe unataka viongozi wako waongee lugha za kigeni ndo...
  3. L

    Tamko la walimu wa sanaa waliokua wanaosubiri ajira mpya.

    Je zikitangazwa january utasemaje , au unasumbuliwa na fikra kidogo, kila jambo linakuwa solved kulingana na muda ,modarity sasa walichoona nu kuwahi kuziba palipo na uhaba zaidi wakati wanaandaa utaratibu wa ajira zingine! Hata hao wa sayansi bado hawajitoshelezi kwahiyo hakuna haja ya...
  4. L

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Maliza wasisi , waswahili husema GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO! maana ya methali ni Unachokiona hakikufai wewe wenzio hukiona kinafaa! Kwahiyo kwa kuwa kaona hufai basi , Mimi tayari nishaona unafaa kuwa Mke kabisa KWA HIYO NIFUATE INBOX NA SWALA LAKO LITAKUWA LIMEPATA DAWA! KARIBU...
  5. L

    Nikajiuliza, Waziri alifuata nini Ikulu?

    Ni sahihi kabisa! Sheria inasemaje , ameliendelezeza au unapiga jelamba tu???
  6. L

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ameomba uhakiki uishe ili ajira ziweze kutoka serikalini

    Unaweza kuendesha familia YAKO kwa mikopo kutoka kwa majirani na watoto wako wasijue kuwa una madeni nje ,wanachojua ni wao kushiba! Awamu iliyopita ni ya kutembeza bakuri ,na ukipewa huo msaada unapewa na masharit yake ambayo kizazi hadi kizazi kitaungua nayo ! Deni la Taifa limekuwa likipanda...
  7. L

    Nimemfuma mtoto wa mke wangu akinichungulia

    Hapa mbaba unachelewesha kujitenfenezea maendeleo katika maisha yako! TAFUNA MTOTO, ili akutimue ukaanze kuandaa maisha ,Shuga mami utaambulia patupu, utakuja fukuzwa uzeen haafu huna pakujihifadhi na nguvu Kazi utakuwa huna tena! MVUE MTOTO ULE TENA TARATIBU BILA PAPALA (UKIWEZA PAKIA DOZI...
  8. L

    Weka hapa maswali ambayo angepaswa kuulizwa Rais ila hayakuguswa!!

    Swali la kitoto kabisa! Au hujajua kama kununuliwa ndege ni fursa ya ajira na cha mapato kwa Taifa, tatzo watu tunazitazama ndege hizi kana kwamba kanunua za nyumbani kwake, tunasahau kama ni vyanzo vya mapato, ajira, na kukuza kama siyo kurahisisha shughuli za kiutalii.
  9. L

    Rais kufanana na hawa maana yake nini?

    Kama wew hujafilisika Peleka kazifungulie Account bank! Maana wewe mufilisi na ndo maana hufurukuti ubabaki kulalama kama mtoto wa kondoo! Hebu zitumie basi hizo zako tusikuone unalalamika humu tena! Maana walionazo wanabuni njia mbadala na wanawin, Wewe zimekusaidiaje?
  10. L

    Rais kufanana na hawa maana yake nini?

    Mtanuna sana, siye twasema chapa ilale!
  11. L

    Ni wenye maono ya karibu tu ndio hawajui anapotupeleka Mh. Rais

    Typing error! Consider it as Liability!
  12. L

    Ni wenye maono ya karibu tu ndio hawajui anapotupeleka Mh. Rais

    Maisha matamu ya nakuja ! Mwenye akiri fupi kabisa kama kope ndo hujaelewa utamu wa maisha ujao! Siku zote katika kupiga hatua za maendeleo yawe kifamilia au kitaifa kuna maumivu lazima yatokee ili baadae uweze kuja kufanya comparison ya ulikotoka na uendako! Na mataifa yaliyoendelea pia...
  13. L

    Ni wenye maono ya karibu tu ndio hawajui anapotupeleka Mh. Rais

    ! Amka na ujitambue , usi kariri kila siku ni 1,2,3 pia tambua unaweza anza na 321.
  14. L

    Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    SUA wamelegeza sana siku hizi uliza miaka ya nyuma kulikuwa na MZEE mmoja A.K.A Sembuche , akifundisha kwanza hutamwelewa, pili test zake ukipata 50% piga magoti mshukuru Mungu! haafu mkimuombwa Mwalimu turudie test 1 anakwambia uchangane Huruma na Elimu , Elimu you have strugle! huku anapiga...
  15. L

    Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

    Nenda katafute chumba kwanza andaa malaz kama kitanda na godoro, na kuwa na uhakika kuwa pesa ya bumu imeshaanza kuingia ndo umtumie nauli wife (mchumba sugu), aje ! Maana usije ongozana naye ukafika jina lako likawa na dosari na ili kupata pesa inabidi kufuatilia kuclear dosari kitu hiki...
Back
Top Bottom