Recent content by Lisangalafu

  1. L

    Mbarawa atimba Julius Nyerere International Airport, aagiza TAA kufanya mabadiliko ya Uongozi haraka

    Muda Wa ndege husika ukipita hyo ndege automatic inajiondoa kwenye list bro
  2. L

    Tunadai serikali haitoi ajira, na hizi ni nini?

    Watu 39 kuajiriwa ndio wsnadiriki kusema wamemwaga ajira,duh... Dangote naye atasemaje
  3. L

    Mheshimiwa Rais tunaomba uondoe malipo ya overtime serikalini

    Sio kweli kwamba private hakuna overtime,wewe inaonekana unaongea tu bila ushahidi.Overtime ni haki ya mfanyakazi
  4. L

    PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli ww unafuata mkumbo,
  5. L

    PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

    Sio kwamba Jast jet akija na hizo ndege,ndio Atcl itashindwa kufanya vyema,Itafanya vyema sana tu km uongozi utakuwa mzur katika kusimamia mapato.
  6. L

    Kenya kuipeleka Tanzania ICC, yadai kisiwa cha Pemba Zanzibar ni chake

    Kijana hapo juu haijatajwa ICC bali ni ICJ.Usiwe unakurupuka
Back
Top Bottom