Nauza kifaa kidogo cha kutengenezea tambi za dengu

Nauza kifaa kidogo cha kutengenezea tambi za dengu

MWILONGO

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
86
Reaction score
10
Habari Wapendwa,
Napenda kuwatangazia ya kwamba nauza kifaa kidogo cha kutengenezea tambi za dengu au chauro kwa jina lingine.
Nauza 22,000/-Tshs tu.
Nakuletea popote ulipo DAR ES SALAAM, kwa wale waliopo MIKOANI natuma kwa njia ya basi NIPIGIE AU SMS 0788-407407 KWA MAELEKEZO ZAIDI
bm-stainless-steel-chakali-maker-set-sev-sancha-medium_38f6f3b538948d7ddbd45ad3608ea15c.jpg
 
W
Hii biashara ya tambi ilinifanya nimalize chuo....mchana darasani usiku nakomaa kupika tambi. Ni kifaa kizur sana.
Wahoooo,ni motivation tosha maisha yako,kifaa kizuri na bei ni rahisi sana
 
Nitakuja mtoa mada kama una cha kusagia karanga plz nijuze nataka kutengeneza siagi ya karanga
 
Habari Wapendwa,
Napenda kuwatangazia ya kwamba nauza kifaa kidogo cha kutengenezea tambi za dengu au chauro kwa jina lingine.
Nauza 22,000/-Tshs tu.
Nakuletea popote ulipo DAR ES SALAAM, kwa wale waliopo MIKOANI natuma kwa njia ya basi NIPIGIE AU SMS 0788-407407 KWA MAELEKEZO ZAIDIView attachment 436143
Mkuu hakuna discount
 
Back
Top Bottom