Recent content by lipinyapinyanala

  1. L

    Shindano la Wahudumu wa Mabasi Wanawake waendao Mikoani

    Nchi hii ina baadhi ya vijana wa hovyo kabisa!!!yaani kabisa umekaa na ukaona umeanzisha Uzi wa maana kwa Great Thinkers!!!tuna safari ndefu sana
  2. L

    Leo nimeota nipo na Nabii GeorDevi

    Nilidhani umeota upo na Jenerali Sabaya pale Jela Karanga kumbe upo na Nabii[emoji28]
  3. L

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpaka leo sijajua hawa wahuni waliifungaje Arsenal
  4. L

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yaani nyie wahuni mnanichania Mkeka wangu hivihivi,mlaaniwe kabisa
  5. L

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Punguza Mhaho
  6. L

    Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Kama watoto wa Dada zangu wawili wa kike niliowapeleka Depo mmoja Polisi na mwingine TAKUKURU na wote wamemaliza Depo mwaka huu basi naamini na wewe utamaliza tu,watoto walikuwa Mayai hao hatari,yaani mpaka chupi zao nyumbani kwao walikuwa wanafuliwa na Mashine,kuosha vyombo tu shida anaweza...
  7. L

    Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

    Waliiba gari kama gari au walichomoa vifaa kama Radio, Taa, Power Window nk
  8. L

    Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

    Weka video tuone aisee, ni sehemu gani tukio limetokea??
  9. L

    Go Young Africans Sport Club

    Ngumi NDOIGE itawapata watu leo huko Khartoum,NDOIGE kwa mujibu wa Mandonga Mtu Kazi ni Ngumi inayopinda kona,hivyo Yanga wakikaa Nyuma WANAYO,wakikaa MBELE wanayoo,imeisha hiyo[emoji28][emoji28]
  10. L

    Vipers kutoboa kwa Mazembe inaonesha hakuna lisilowezekana kwenye mpira

    UMESHTUKAJE??kesho Khartoum zile Ngumi NDOIGE lazima ziwadondokee Uto hakuna namna
  11. L

    Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Ni matumaini yangu Ndugu KYAGATA utajiandaa vizuri kwa USAILI huu, kuna siku mlijibizana na jamaa fulani humu lakini lengo lake lilikuwa ni kukushauri upunguze pressure na lawama dhidi ya Sekretarieti. Ulivyofanya leo ni sahihi kuomba mtu mwenye any idea na USAILI husika. Ni vizuri kuvuta...
  12. L

    Watanzania acheni kiherehere na ulimbukeni wa chaguzi za Kenya, fuateni yenu

    unipokee wewe unayeenda Kampala kwa siku mbili kisha unakimbilia JF kuanzisha Uzi eti Uganda ni zaidi ya Tanzania kimaendeleo!!!kama watoto wa Dadako hawataki kukupisha uvae basi ujue siku sio nyingi Shemeji yako ataanza kukusukumia moto na wewe!!!mtu makini hawezi kufikia kwa Dada au Ndugu...
  13. L

    Watanzania acheni kiherehere na ulimbukeni wa chaguzi za Kenya, fuateni yenu

    Acha ujinga wa kuanzisha UHARO JF kila muda,just grow up. Kila siku UHARO tu unaanzisha,uende Kampala siku mbili ukimbilie kuanzisha Uzi JF eti Uganda imeizidi sana Tanzania kinaendeleo,khaaa!!!mara watoto hawataki kutoka sijui ili uvae nguo,so unaandika JF UHARO kama huo ili sisi tusemaje kwa...
  14. L

    Watoto hawataki kutoka sebuleni nivae nguo

    Acha utoto wa kuanzisha nyuzi za kijinga JF!!hakika ukosefu wa Ajira ni janga la Taifa!!!kutwa kuanzisha nyuzi za KIPUUZI tu,shenzi kabisa[emoji57][emoji57],grow up
  15. L

    Watanzania acheni kiherehere na ulimbukeni wa chaguzi za Kenya, fuateni yenu

    Hivi unafanyaga kazi saa ngapi??maana kutwa ni kuanzisha nyuzi JF[emoji57][emoji57]waombe mods waanzishe shindano kwa watakaoanzisha nyuzi nyingi,hakika utashinda
Back
Top Bottom