nilchogundua ni kuwa viongozi wetu sasa hawana akili.moja je kutoonesha live wanataka kuhalalisha uvunjifu wa kanuni kwa hao wabunge?na mbili kama sababu ni wabunge kuvunja sheria na kanuni kwanini wasiwachukulie hatua?hapo kuna kitu wanataka tuficha.watanzania twataka bunge live tena bila chenga!
huyu dada ni kimeo kuliko maelezo.nadhan atakuwa ndo wa kwanza kutangaza nia ndani ya ccm katika harakati za ubunge!hivi tambwe hiza yuko wapi ndugu zangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.