Kipindi hakuna haya mambo ya vts,ubungo unatoka na Allys sport (SCANIA 114) saa 12 asubuhi na nyegezi chuma inamwaga upepo saa 2 usiku au saa moja unusu...Zile chuma zilikua zinaitwa ndege za ardhini.
Sijui ndio kuishiwa au kufilisika,mwaka 2016 nilipata hela ya pamoja kiasi cha 18M, hapo sina majukumu yoyote yale plus ujana ,Daaah ile hela ndani ya miaka 2 sikua na hata mia😂😂😂😂.....Baada ya hapo niliishi maisha magumu sana sitokuja kusahau.....ila namshukuru sana Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.