Recent content by Linho 91

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

    Kaka zangu wawili walikuwa watoro wa shule wasipo enda shule walikuwa wanawekwa kwenye gunia lenye upupu siku nzima,leo hii wanashukuru kwa kufanyiwa hivyo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

    Au Ronaldo ni kama dimond ,messi kama Ali kiba🙃
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Mkongo man ukimwambia achangue pesa na sifa ana changua sifa ,wanapenda kusifiwa kuliko pesa. Waarabu hawamwagi sifa kama wabongo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Hapo jaji angekuwa kiranga kesi ingekuwa rahis sana kwake .
  5. L

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

    Hii mimi naona ni kwa kila mtu anavyo ona ila kwangu mimi, Mtoto mwisho miaka 14 KIjana miaka 15 mpk 25 Mtu mzima 25-45
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

    Hapo MX CARTER hausiku kwel
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maisha yako yote hakikisha haukosi watu hawa

    Fundi nguo Fundi gari kama unalo Fundi ujenzi Boda boda
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ondoa gaga kwa kufanya haya

    🙏🙏
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal ametaja kikosi chake bora cha muda wote Messi, Neymar na Ronaldo wamo

    Bila shaka pele na Eto watakuwa sub wataingia dk ya 70
  10. L

    JamiiForums Tanzania Miss World atembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala

    Daktari kama vile kasimama katikati ya nguzo mbili
Back
Top Bottom