Recent content by Lingutwa Sr

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tunafunga na kuseti madishi yote. Niulize chochote

    Mkuu naomba frequency na satellite ya startimes
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hili la KLM kuitangazia dunia kuwa Tanzania na Kenya kuna Machafuko, baadaye kuitoa Kenya na Kuacha Tanzania, kila Mzalendo apaze sauti

    Ombea nchi soon neema itafungwa Tanzania itapata shida. Tuombeee
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mkuu, Nisaidie namba yao au wanapatikana eneo gani?
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mkuu ulipata hiyo namba?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Nyerere angekuwa hai ningekuwa Chawa wake

    Hata akiwa mzee bado anakuwa chawa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

    Huo mchakato wauache tu, maana viongozi wengi hawaishi maisha manyoofu wanapokuwa wanatawala. Wakati mwingine hawatendi haki na matendo mengine mabaya ambayo hatuyaoni sisi wanaotutawala. Sisi huwa tunaangalia ya nje tu lakini MUNGU anakusanya data zetu za kila siku mpaka unapokufa. Sasa kama...
  7. L

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Kweli kabisa,ili asipate taabu[emoji16][emoji16][emoji16]
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bariadi: Askari polisi aliyegonga gari la RPC Chatanda afariki dunia

    Mbona imeelezwa hapo kwenye uzi. Umesoma vizuri au umekimbilia kuandika tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kama sikosei Serikali ilitangaza kufuta tozo kuanzia tarehe 1.10.2022 mbona zinaendelea zimefutwa zipi?

    Nafikiri chini ya elfu 30 ndiyo hazina tozo zaidi ya hapo makato kama kawa na tozo bado ipooooo haijafutwaaaa[emoji1][emoji1][emoji1]
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

    😁😁😁😁
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inawezekana
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Sidhani kama kuna nchi nyingine Afrika ina Uwazi katika Uchaguzi wake kama tulivyoishuhudia Kenya!

    Ndiyo, hakuna uwazi ndiyo maana amesema hivyo na mfumo wote wa mambo yanavyofanywa anajua sana. Ndiyo maana ameuanika ukweli. Wajisahihishe wasione aibu Kenya wameonesha mfano.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

    Na kweli ajisemee mwenyewe asijumlishe wote. Machungu bado yapo tu
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Unaponinua kitu wakati wa kulipia itakupeleka kwenye page yako ambayo pia anwani yako ya kutumia mzigo ipo,baadaye unabofya unalipa
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ukibadili anuani pia kwenye ukurasa wa PayPal unabadili,inawezekana sana. Hata kadi pia unaweza kubadili au kuongeza
Back
Top Bottom