Recent content by Lingundungu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hawa Watatu hawakujitoa Muhanga? Walikuwa wanapenda kuishi? Ila wenzao wafe?

    Gafaff unamwonea. Kujiyoa mhanga hazikuwa mambo zake.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dudubaya aende huko Pakistan kuna masoko maalum ya kwenda kujipatia wavulana walio jipamba kama wasichana kwa ajili ya burudani

    Uwe na nduguyo au mwanao anayefanyiwa ushoga ndo akili itakukaa sawa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aumizwa na kutokwa na machozi kufuatia vifo vya watu 32 mkoani Morogoro kufuatia ajali ya magari. Atoa salamu za pole na rambirambi

    Ila hakutoa pole kwa waliokufa katika vuruga za uchaguzi kwa risasi mwaka jana. Ana upendeleo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Mjomba wewe ni katoli aisee.😂😂😂
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

    Once a hoe will always be a hoe. Asante sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji kachukua viwanja vyangu vinne Kijiji Cha Msufini Kidete – Mkuranga, Pwani, kila ninapoenda hakuna msaada

    Kwa akili yangu, ningetafuta nauli niende sumbawanga nikanunue radi tu. Ni kugonga radi hadi washtuke.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Kwa hiyo ni dini zote?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Single mother Tuwe makini sana wazee

    Naamini wapo! Tusihukumu kundi zima la wahusika kwa tukio la mmoja wao. Wapo wanaojitambua kiasi kwamba hata uimbe vipi hupati mzigo. Halafu haruhusu mazingira ya kuwa karibu.
Back
Top Bottom