Recent content by lingindowski47

  1. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kukua kwa kasi kwa uchumi wetu na kauka kwa pesa mifukoni

    Kidogo nimekuelewa ila sikuiz pesa yangu ina thaman kuliko kuhonga babeki........
  2. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Kuna chanel huwa sipend ata kwa king'amuz changu sitaki ziwepo ikiwemo 1.TBC ambayo inaacha kuwa tv ya kwanza kuangalia matatizo ya wananchi wao wanatuwekea vipindi vya cherekochereko ilhali vijini watu wanakufa na kutaaabika kwa kukosa maji safi na salama....sijaona umuhimu wa marepota wake...
  3. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Mwanamke/msichana anaweza kumtembelea mchumba wake kwake akatoka salama?

    hahaahahhaahaha shabbash
  4. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    wew na huo umbeya wako.....et majambaz ni mtu mmoja tu wala si wengi
  5. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Mwana FA kavuta jiko

    Ndoa ya mwendo kasi iyooo
  6. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Malia Obama to attend Havard in 2017

    Ww jitembezeeeeeee lakin kumbuka hauchagui bali unachaguliwa na this is Tanzania we have not we want
  7. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kosa kwa Rais au Mama Janeth kuomba msamaha hadharani?

    Nimekuelewa so unamaanisha pia baba jesca na jesca wake nao vilaza
  8. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania kina dada kama hutoi ndoa utaisikia kwenye bomba

    Bora awe kwa baba kuliko kurudisha ya SODOMA NA GOMOLA
  9. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke anachokaje Kufanya Mapenzi?

    Mpenda ngona ujue uyo ni rafiki wa UKIMWI
  10. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

    Alaf uyu mdada pia naona ni kama JESCA maana tabia zake ni kama wale watu ambao BABA JESCA aliwaitaga vilaza
  11. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Baba Jesca: Watendee haki kina Jesca wote ili nao wapate bahati kama Jesca!

    Daaaah Baba jesca alizinguaaa kumbe akina jesca wote vilaza
  12. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Baba Jesca: Watendee haki kina Jesca wote ili nao wapate bahati kama Jesca!

    Kumbe ndo maana tcra haitaki maneno machafu walijua kua ipo siku kua baba jesca atakuja kulikorogaaa
  13. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

    Chid benz mfalme wa ilala lakin bahati mbaya sasa hivi amekuwa mfalme wa mateja ilala
  14. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

    Huyu msanii JESCA JOHN MAGUFURI ndo ananisikitishaa Wallah
  15. lingindowski47

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke anachokaje Kufanya Mapenzi?

    Nyi wote majipuuuu
Back
Top Bottom