Recent content by limi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Dogo Asley afiwa na mama yake mzazi

    rip mama
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimjamzito lakini naona damu

    mstar wa pili ukiwa umefifia t meanz mimba changa...nenda hosptal kapge ultra sound wataona..ondoa hofu tu
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu hamtaki dada wa kazi aliyemkuta kwangu, hamuamini

    caxton hii ipo kwenye mada ya Diva leo....sasa sijui kacopy hukuuu??!!!
  4. L

    JamiiForums Tanzania NHIF wanalipia X-ray na Ultrasound?

    inawezekana..tena mm nafanyia private hospital...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama huanza kutoka Lini baada ya Kujifungua?

    ampe tu hayo aliyoshauriwa na daktari for da tym being mpaka mama atakapoanza kutoa maziwa.....
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    aende akamuone gyno...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

    lbda alikua na tatzo jngne,mahosptal ya serikali yote znatoa sp kwa wajawazto wa miez 5 na kuendlea....pole yake i can feel the pain
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Ujauzito: Jibu sahihi ni lipi hapa?

    hongera,ila mara nyngi vkitokea vimstar viwil kmoja kikiwa hakionekani vizuri inakuwaga ni mimba changa hiyo..
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu ukeni wakati wa ujauzito

    pumzikeni kufanya sex kwanza,mpeleke hospital akachekiwe,breed kipindi cha ujauzito si kitu kizuri..kucheza kwa mtoto miezi mitatu duh???!!mi najua miezi 5 wengne huwahi mitano kasoro...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    tx a lot,salbutamol tablets
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naruhusiwa kunyonya ziwa baada ya muda gani?

    unaweza anytym sema usafi uzingatiww ili usimix ww na mtoto. ..
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Duphastone naomba jua kazi yake kwa mjamzito??na salbutamol pale anapopewa mtu ambaye mimba inatishia kutoka!!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kazi katika ofice ya mkuu wa mkoa

    kwenye barua ya ajira wanakupa salary scale yako tuu hawatoi kiwango cha posho...labda hizi barua za mwaka 2015....mwambie kama unafahamu....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kazi ya ualimu na kupata mafao

    inawezekana kabsa,haswa kama una spesho case kama ugonjwa unapewa confirmation letter ya dr kuwa unaumwa unapeleka unaresign tu na mafao yako unapewa tngu ulipoanza kuchangia mpka huo muda wa kuretire..
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kupata Kazi Serikalini kwa GPA ya 3.4

    utaajiriwa tu serikalini hata usijali,gpa doesnt matter sana..mi nina chini ya hapo na nipo serikalini....
Back
Top Bottom