Oya unatupotosha bhanaa,nachojua waliokubali kulipa ni BARRICK ambao ndo wenye hisa ya 64%na inayobakia ndiyo ya ACACIA na Makampuni Mengine.Hii inamaana ya kwamba waliotaka suluhu ni wale Mabosi wa ACACIA. Pia ACACIA hawa walikuwa wanachukua mzigo wanawapelekea jamaa halafu ACACIA wenyewe pia...
Serikali isiyokusanya kodi ni sifa kuu ya serikali Corrupt. Mmevurugwa na upotoshaji wenu bro.Na kwa Namba ya JPM anasemaga ukijifanya kumshauri ndo umepoteza kabisaa.
Hujawaelewa Wapinzani kuimba wanaimani na hao Ma Former Presidents.Hukumbuki Kwenye NEC waliimbiwaga wakati wanachenjuliwa miaka hiyo Mkuu.Pia Ma CCM ya Mikoani na Ma Wilayani Waliwaimbia sanaaa halafu Mwishowe Madudu.So that wapinzani wameimba wakikashifu.Fuatilia utapata maana yao...
Upo Msumbiji tu hapo unaanza zarau,siku ukifika na Malawi kule alikotoka Mamaako si ndo utatembelea Mikono ili uonekane ni wa tofauti.Timu inafanya,vp unaweza kwenda kunya stand?
Serikali kutengeza Noti Mpya halafu inatumika na Noti ya Zamani inaendelea kutumika kwa zaidi ya Miezi sita na kutokea nchi kutumia Noti Mbili za thamani sawa kwa Machapisho tofauti na kupitiliza miaka ikiwa hivyoo.
Wewe Mfia chama sikilizaa,huyu tunamfahamu ni Fisadi,Mnyonyaji mkubwa na wewe hajawahi kukugawia kitu.Alileta vocha huyo za karatasi hakulipa kodi hata nukta wewe unaleta utetezi wako hapa.Kumbuka Nyerere alisema nini kuhusu huyo pale ICC.
Acheni kuzingua,waziri mkuu mstafu wa wapi wakati aliacha kazi baada ya kushtukiwa Wizi wao!Hivi mbona mnakumbatia vitu vya ajabu na kuacha kuwa wakweli?Amestaafu lini sasaa.Aaaah figisu hizo Mfia chama wewee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.