Recent content by limbeli

  1. limbeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Amina atakubali kutoa penzi..?

    Kama kweli unamaanisha na unalengo la kumuoa mwambie ukweli wako usimpigie simu ila ongea nae ana kwa ana funguka kila kitu wanaume tumeumbwa kutoshindwa swala la kuchomoa hilo litategemeana na maelezo yako kwake na yeye atakuelewaje
  2. limbeli

    JamiiForums Tanzania Huyo Kipemba anaechangishiwa Tsh 100 milioni ni nani?

    Uliwahi kusikiliza kipindi chake cha njia panda kama hukusikiliza ungejipa mda kumsikiliza huenda ungeelewa mnakosea kuongelea kitu bila kukisìiliza vizuri
  3. limbeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa kike wa Mke wangu ana tabia ya kutusikiliza tukiwa tunafanya mapenzi

    Unasubiri nini kumpelekea moto
  4. limbeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

    Mwambie ukweli
  5. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msaada wa join instruction ya Chamwino sekondarI Dodoma

    Nimefanikiwa asee
  6. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msaada wa join instruction ya Chamwino sekondarI Dodoma

    Haifunguki kaka nimejarib zaidi ya mara 10 labda kama una link nisaidie
  7. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msaada wa join instruction ya Chamwino sekondarI Dodoma

    Mwanangu amechaguliwa shule ya sekondary Chamwino Dodoma kidato cha tano naomba kupata msaada wa join instruction ya shule hiyo.
  8. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Soma maandiko matakatifu acha kukalilishwa vitu visivyokuwepo
  9. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Sio kweli siishi kwa kusimuliwa bali kwa kusoma Biblia Takatifu kubali tu kuwa Issa sio Yesu n msimfananishe hawafanani
  10. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Bas Issa n mtu tofauti kabisa Na usimlinganishe huyo issa n Mwanapekee wa Mungu Yesu kristo kwa mujibu wa Injili ambayo unaiamin amezaliwa bethlehem Pangon
  11. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Hujajib swali kama Yesu na Issa n mtu mmoja Yesu alibatizwa mto Yordan n Yohane ndie aliembatiza je Issa alibatizwa wapi
  12. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Nioneshe aya inayosema issa alizaliwa sehem gan n mji upi
  13. limbeli

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Jesus na Issa sio mtu mmoja Yesu alizaliwa Bethlehem pangon akasulubiwa akafa akazikwa siku ya Tatu akafufuka lakin issa hakuzaliwa bethlehem n hakufufuka kwa mujib wa Qur'an
  14. limbeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

    [emoji23][emoji23][emoji23]kaamua kufuga tushetan
  15. limbeli

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Kome Mkoani Mwanza chateketea kwa moto usiku wa leo

    Huijui kome n hujui chanzo n moto n sehemu iliyoungua n sehem tu ya kisiwa ambapo n makazi ya wavuvi n nihifadhi hawaruhusiwi kujenga nyumba za kudum hivyo kabla hujashauri lijue vizuri eneo husika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom