Lakini changes zinaletwa na visionary leaders, sio watanzania as a group peke yao, na hao viongozi wenye vision CCM kwa sasa hawapo, wamebaki akina Lusinde ambao sijui wame watoa wapi. Kama CCM wange kuwa makini, huwezi kumpeleka mtu kama huyo kwenye uchaguzi, Mgamba bado wame lala.