Recent content by Lim Hoo

  1. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Unataka kusema nini wewe,huna shughuli za kufanya
  2. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    😁😁😁😁 Umesha-kula lakini
  3. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    Muda ni mwalimu mzuri tusubiri tuone
  4. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Kama huna akili jitahidi wengine wasijue
  5. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Huu wa kwenu unagusa mtu wa chini??
  6. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Watumiaji wa Intaneti wamefikia Milioni 49.3 kutoka Milioni 37

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hizo takwimu
  7. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society (TLS) ifutwe

    Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi na ndiyo kitu kinacho wakuta mbogamboga.
  8. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Kama huyu niliyemsikiliza akihojiwa BBC ndiye Kamanda wa Polisi Dar, basi kuna tatizo kubwa

    Pitia andiko lako tena
  9. Lim Hoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mwanamke wangu siyaelewi

    Hizo red flag zote bado unapata na nguvu za kuomba ushauri wa kufanya?
  10. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Yes, of course,no, okay.
  11. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

    Ifike mahali jf iheshimiwe
  12. Lim Hoo

    JamiiForums Tanzania Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

    Kama bado wewe ni kijana chunga uzeeni usije kuwa mchawi
Back
Top Bottom