Recent content by lilycute

  1. L

    Career moja mume na mke

    kila jambo na muda wake, muda wa kazi ni kazi, nyumbani ni family business, sio tu mkiwa career moja, hata kama mpo tofauti cheo kinatakiwa kuishia ofisini. nyumbani ni mama au baba
  2. L

    Utachagua kipi kati ya mume/mke na pesa?

    hakuna namna ambavyo utachagua pesa over mwenzi wa maisha, never...pesa zinatafutwa na mkizisaka kwa pamoja mtapata tu. mi ningechagua tu kubaki na mume wangu izo pesa ntaziacha tu zipite. unaweza chagua pesa na kamwe usizifurahie pale unapokumbuka umemwacha mwenzio kwa ajili hiyo. pesa...
  3. L

    Ni lazima mama wa mume kuhudumiwa na mke wa mtoto wake?

    mwee kikwetu sie kumlea mama mkwe sio ombi ni lazima, na kwanini usimlee labda, huyo ndo mama mzaa chema kama unampenda mumeo lazima upende na familia yake, wala hutakiw kuuliza. yani wew ukae na mama yako kwa mumeo halaf mama yake asiwepo, hiyo haipo ila inategemea na mila zenu na tamaduni...
  4. L

    Mke wangu anazidi kuwa kibonge

    hivi siku hizi hakuna siri za familia eeh...mambo kama hayo ni yako ya ndan kaa na mwenzio mshaur afanye mazoez kwa hekima. ila naona umeoa ukiwa bado hujafika umri wew
  5. L

    Manager: Nashawishiwia kupewa ngono ili nitoe kazi

    sioni changamoto hapo, kama unampenda mkeo na unaijali familia yako usiangukie kwenye huo mtego. hapo ndio mwanzo wa kuisambaratisha familia yako na kuharibu kazi, usitegemee ukimwajiri atakuwa na utendaji kazi mzuri wa kazi. weka kazi mbele, ondoa tamaa kichwani.
  6. L

    Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    kwanza kitendo cha kuzini na shemeji yako ndani ya kitanda mnacholala na mumeo ni dharau kubwa mno. halaf unathubutu kumsifia, hivi kwanza unaanzaje kutamaniana na shem wako. mi naomba na shetani ampitie mumeo huko aliko aje na mke mwingine
  7. L

    Agundua mumewe ana mtoto wa nje baada ya ndoa

    ndio maana huwa tunaambiwa kuna maisha baada ya matarumbeta kuzimika, ndoa ina changamoto na kama umekubal kuingia lazima uwe tayar kukabiliaba nazo, yeye atulie apokee mtoto walee maisha yasonge mbele
  8. L

    Agundua mumewe ana mtoto wa nje baada ya ndoa

    unaambiwa ukipenda boga upende na ua lake, mi huwa sielew kwann watu wanakuwa na chuki na watoto wa nje wa wenzi wao, mtoto ni mtoto tayar ni damu ya mumeo na ni sehem ya familia. tatizo tu ni kutojulishwa mapema, ila kama umempenda mtu mtoto sio kikwazo. kama mlikuwa na mpango wa kuwa na watoto...
  9. L

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    kwanza unataka kumkatili mwanao utakaomzaa haki yake ya kumjua baba yake ni nani na kufaidi malezi ya wazazi wote wawili, si kweli kuwa unampenda huyo baba kiasi cha kutaka kumzalia ila ni tamaa tu zinakusumbua na unajua ukizaa utaendelea kutunzwa. ushauri wangu, achana na huyo mume wa mwenzio...
  10. L

    Jaji Augostino Ramadhani awakatalia CCM kugombea urais

    mtoa mada naomba nikuupdate brigedia Judge mstaafu ameshachukua fomu, kuomba ridhaa ya chama hicho.
  11. L

    Bado miezi michache wafunge ndoa, mwanaume ana mwanamke mwingine tena ana ujauzito wa miezi 4

    amshukuru mungu kwa kumuonesha mapema. anatakiwa akimbie haraka sana
  12. L

    Ndani ya week moja ya mahusiano kanitambulisha kwao

    Sasa wew unataka hadi mahusiano yaote sugu ndo akupeleke kwao , hiyo ni ishara nzur na kakuheshimu sana kukupa hiyo nafasi, ila kwa vile wew huna malengo mwambie dada wa watu ukweli atafute mtu anaestahili heshima hiyo
  13. L

    Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi

    Ww utakua unataka kumrudia mtalaka wako ndio maana hutaki hata kumpa mwenzio nafas ya kujielezea , yani tuseme umepata pa kutokea, huwez jua labda ni utani tu na wala hana mahusiano nae vitu vingine ni vya kumkanya mtu maisha yakaendelea. Ila ww kwavile unaonekana unataka legal wife arud haya...
  14. L

    Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi

    Ww utakua unataka kumrudia mtalaka wako ndio maana hutaki hata kumpa mwenzio nafas ya kujielezea , yani tuseme umepata pa kutokea, huwez jua labda ni utani tu na wala hana mahusiano nae vitu vingine ni vya kumkanya mtu maisha yakaendelea. Ila ww kwavile unaonekana unataka legal wife arud haya...
  15. L

    Nimekuomba twende outing, unachagua Kempisk hivi una nia na mimi kweli?

    Hayo ndo malipo ya kuacha mke ndani na kukimbizana na vidada, hiyo pesa ungempa mkeo angweka stock ya chakula ndan mngekula mwezi. Jifunze sasa usirudie
Back
Top Bottom