Sheria ya makosa ya jinai sura 16 inakataza utoaji mimba. Ni kosa la jinai kwa mwanamke mwenye mimba kutaka kutoa mimba; pia ni kosa la jianai kwa daktari au mtu yeyote anayetaka kusaidia au anayesaidia kutoa mimba. hivyo njia sahihi kama unataka huyo mwanamke asitoe mimba ni kwenda kuripoti...
Hii mifuko inatoa mafao mbalimbali mojawapo likiwa fao la kujitoa ambalo ndilo linalolalamikiwa. katka hili, mwanachama anaruhusiwa kuchukua michango yake aliyochangia wakati wote wa uanachama wake. Hii dhana inatokana na dhana nzima ya hifadhi (social security) mfanya mtu aweze kumudu maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.