Recent content by Lilac

  1. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wishing you a holy good friday

    Asante, Majukumu yamekua mengi mpaka natamani kujikimbia. hahaaaa pole ila angalau roho yako imesalimika
  2. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wishing you a holy good friday

    Thank you, na kwako pia
  3. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mpenzi dini tofauti

    Muache
  4. Lilac

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kuhusu Batuli

    Hahaa hajaamua tu kuolewa
  5. Lilac

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kuhusu Batuli

    Loooo makubwa. Kaolewa??
  6. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kuoa

    Wanyaturu, warangi, wamburu
  7. Lilac

    JamiiForums Tanzania Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

    Wa wapi wewe:what: kusema ukweli ndo wivu eee:what: na nimuonee wivu kwa lipi hasa??? Piga kimya kama hauna cha kuongea
  8. Lilac

    JamiiForums Tanzania Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

    Kweli ana miguu mizuri ila hajui kuvaa wala hapendezagi
  9. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli wangu umeniponza, najuta

    Kulikua na haja gani ya kumwambia ulikua unachepuka? Ningekua mimi ningekutema kabisa. Halafu unataka umguse ili umuambukize magonjwa?? Mkapime kwanza
  10. Lilac

    JamiiForums Tanzania Find the black dot- eye test..!

    Mmm naona nachanganyikiwa, nikiamka ntakupa jibu
  11. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada tusahau kuhusu huyu kaka , katangaza mchumba tayari

    Inabidi uombe kwa bidii lol
  12. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi kumpenda zaidi/kumpendela mtoto mmoja. Tupe uzoefu wako

    Haya nipiemu
  13. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi kumpenda zaidi/kumpendela mtoto mmoja. Tupe uzoefu wako

    No, nna mdogoangu, afu usikute ndo wewe maana hizi fake ids hatari lol
  14. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi kumpenda zaidi/kumpendela mtoto mmoja. Tupe uzoefu wako

    Yeah mie mwenyewe
  15. Lilac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi kumpenda zaidi/kumpendela mtoto mmoja. Tupe uzoefu wako

    Oh real? Basi me nimeona hivyo kwa sehemu chache nilizochunguza.
Back
Top Bottom