Recent content by lil225

  1. L

    Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

    nmekuelewa sana kaka nashukuru sana bro, kuna watu wengine badala ya kumjibu mtu kutokana na alivyo elewa anaanza kukejeli wakati n error za kawaida hta github na stack overflow watu wengi wana uliza, na ndo maana sisi Tanzania kwenye mambo ya tech tuna feli sana watu wanajifanya wajuaji sana...
  2. L

    Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

    Ni kweli me bdo ni beginner na haikupaswa kunicheka kwan hta ww czan km hukupitia km mm
  3. L

    Hii mambo ya kudukua SMS za mpenzi wako ni presha tupu

    We naomba nielekeze ni njia gani ulitumia kudukua?
  4. L

    Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

    Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije...
Back
Top Bottom