Hii mambo ya kudukua SMS za mpenzi wako ni presha tupu

vanus

JF-Expert Member
May 27, 2017
1,145
2,832
Kuna manzi yangu nilidukua sms zake za whatsapp kwamba akitumiwa au akituma chochote naona kwenye simu yangu nilidownload whatsapp web.

Bana leo nimetulia nae getto kwake nikapiga show akawa ananidekea dekea drama za kutosha.

Nikaingia whatsapp web kuangalia nin kinaendelea nakuta kamtumia danga lake picha ya nyuchi.

Daah nilichoka nikameza mate wala hata sijamwambia, nikajipa moyo kwamba kiherehere changu kimeniponza na nimefuta hiyo application, sitaki tena
 
ni vizuri umeujua ukweli kabla hujafanya massive investment kwa huyo manzi
 
Kuna manzi yangu nilidukua sms zake za whatsapp kwamba akitumiwa au akituma chochote naona kwenye simu yangu nilidownload whatsapp web.

Bana leo nimetulia nae getto kwake nikapiga show akawa ananidekea dekea drama za kutosha.

Nikaingia whatsapp web kuangalia nin kinaendelea nakuta kamtumia danga lake picha ya nyuchi.

Daah nilichoka nikameza mate wala hata sijamwambia, nikajipa moyo kwamba kiherehere changu kimeniponza na nimefuta hiyo application, sitaki tena
We naomba nielekeze ni njia gani ulitumia kudukua?
 
Umedukua au umetumia tsaap web???
Kama kudukua labda umtumie link uliyo itengeneza kupitia Kali Linux either kwa email au tsaap

Then anadown load au udownload mwenyew kweny sim yke apo tu ndo unaweza kuhack au kucontrol simu yake hko ND kuhack

Kwanza mtu akiunganish tsaap web lazma ilete notification
 
Dukua unachoweza kukiacha sio unadukua tu halafu maamuzi huna huko ni sawa na kula hewa bata wewe.. sahivi ilitakiwa utuletee picha za mtu anaminundu we unaleta udaku kenge kabisa unastahili kupigwa ban unajua we ni kitumbua ambacho hakijaiva..? Haya ndo matatizo ya kuwapa smartphone watu went sura Kama za utumbo mpana.
 
Kuna manzi yangu nilidukua sms zake za whatsapp kwamba akitumiwa au akituma chochote naona kwenye simu yangu nilidownload whatsapp web.

Bana leo nimetulia nae getto kwake nikapiga show akawa ananidekea dekea drama za kutosha.

Nikaingia whatsapp web kuangalia nin kinaendelea nakuta kamtumia danga lake picha ya nyuchi.

Daah nilichoka nikameza mate wala hata sijamwambia, nikajipa moyo kwamba kiherehere changu kimeniponza na nimefuta hiyo application, sitaki tena
Chai haina viungo hii, chai kama maji?
 
Unaweza kudukua kwa ku create link flan ukitumia OS ya Kali Linux then unamtumia unaye mhack akii download tu unakuwa n access na simu yk yote
Nimeelewa sasa. Nilifikiri ni kama hizi software zinazouzwa na Wakenya Telegram. Magumashi tupu yaani.
 
"Mapenzi ya siku hizi, bila kugombana hayana stimu, pia
Ruksa kushikana, lakini sio kushikiana simu
Unanipa wazimu, nasikia kwana umeachana na hashimu, na bado mnawasiliana una mpango wa kuchamganya timu!? "
 
Hilo ndilo lengo. Watu watakwenda kumuulizia hiyo app PM na lazima watapigwa; na sina uhakika kama hiyo app kweli ipo
Hahaha hii ni uhakika wala sifanyi matangazo, njoo pm nikuelekeze afu na ww uje kutoa ushuhuda hapa
 
Back
Top Bottom