Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije anisaidie, na inatokea error hii.

View attachment 1727998
Error unayo ipata hapo japo sioni vyema ungejaribu kutumi print screen au fn + prt sc kuleta pich ambayo tutaona vyema

Oky nitakujibu kulingana na nilivyo elewa na kuona

First thing first unatakiwa kua na android emulator ili kufanya debug ya app yako

Kama emulator ni shida bas weka sim yako kwenye usb debug mode kisha chomeka na pc

Pia unapo debug for the first time lazima utumie internet yani uwe comnected !

Jinsi ya kutemgeneza Android Emulator
Nenda youtube ka search utapata
 
Error ipo very clear.. Device unayotumia kudebug haijasomeka.. Una options mbili kusolve

1. Setup emulator yako make such its running vizuri na environment variables zake zipo setup vizuri.

2. Connect simu ya android. Make sure USB debugging ipo enabled.. alafu run tena hio command.. Its should work

Ila kiukweli hii error ni very very common kwa any kind of android development iwe Flutter iwe React Native.. Na nina uhakika 100% stack overflow answers kibao zinasolve.. Jifunze kuitumia Stack overflow na Google vizuri otherwise maisha yako ya development yatakua magumu mnoooo..
Jamaa anaonekana biginner bado hajakutana na wazee konki kaka gradle ambao unapata error alaf hujui inatoka wap
 
Jamaa anaonekana biginner bado hajakutana na wazee konki kaka gradle ambao unapata error alaf hujui inatoka wap
Ni kweli me bdo ni beginner na haikupaswa kunicheka kwan hta ww czan km hukupitia km mm
 
Error unayo ipata hapo japo sioni vyema ungejaribu kutumi print screen au fn + prt sc kuleta pich ambayo tutaona vyema

Oky nitakujibu kulingana na nilivyo elewa na kuona

First thing first unatakiwa kua na android emulator ili kufanya debug ya app yako

Kama emulator ni shida bas weka sim yako kwenye usb debug mode kisha chomeka na pc

Pia unapo debug for the first time lazima utumie internet yani uwe comnected !

Jinsi ya kutemgeneza Android Emulator
Nenda youtube ka search utapata
Nashukuru sana kaka
 
nmekuelewa sana kaka nashukuru sana bro, kuna watu wengine badala ya kumjibu mtu kutokana na alivyo elewa anaanza kukejeli wakati n error za kawaida hta github na stack overflow watu wengi wana uliza, na ndo maana sisi Tanzania kwenye mambo ya tech tuna feli sana watu wanajifanya wajuaji sana halafu hakuna chochote walicho kifanya cha maana ,,una kuta mtu amesha ona huyu bdo begginer lkn ana kukejeli na kucheka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom