Recent content by Likuwa

  1. Likuwa

    Kwanini hatutumii nguzo za zege kwa ajili ya umeme kama Kenya?

    Zinatumika ila kwa kiwango kidogo sana hapa upanga zipo
  2. Likuwa

    Hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kumtambulisha Diamond na Meneja wake likoje ?

    Unajifanya hujui kama diamond ni mwekezaji au kwa sababu no mwanamuziki ndo unajifanya kujisahaulisha yes dai investor
  3. Likuwa

    Walimu wanavyohamishwa sekondari kwenda msingi ni uonevu na ukiukwaji haki kila Mtanzania anapaswa kuulani

    Me Nina digrii ya pili ya elimu nafundisha msingi.....kitambo acha kukariri piga kazi mkuu
  4. Likuwa

    Sintofahamu yatanda kwa walimu wa sanaa katika shule za sekondari hapa nchini juu ya kuhamishiwa shule za msingi (IKAMA)

    Hakuna mwalimu anayesoma saikolojia ya mtoto aliyebalehe pekee....kwan lazima ujifunze hatua zote za makuzi tena tangu mimba inatungwa.....hoja simbuzi hii
  5. Likuwa

    Nkamia: Msichanganye Demokrasia vs Maendeleo, ni vitu viwili tofauti

    Yuko sahihi Nkamia ila good democracy siyo kitu pekee cha kusaidia maendeleo
  6. Likuwa

    Marekani: Tuko tayari kusaidia uchunguzi wa shambulio la Lissu ikiwa Serikali itatoa ruhusa

    Wakaanzie kuchunguza matukio ya kuuawa kwa polis kibiti.....nonsense
  7. Likuwa

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Mmmmmh kakobe yuko sahihi!!huku ni kujitoa ufahamu tuuu hayuko sahihi aza waize wewe ni mkimbizi huna uchungu na Nchi hii......haiwezekani kakosea sana kakobe
  8. Likuwa

    Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Me naona ni sawa tu maana hakuna kikubwa mbele muumba zaidi ya yy....Juzi nlikuwa Dodoma mbona barabara ya udom pale ukumbi wa convention karibu na uhasibu barabara ilifungwa kwa zaidi ya saa tano kwa ajili ya mkutano wa chama fulan?kikibwa ni kuvumiliana.....mambo mengine yaende siyo kila kitu...
  9. Likuwa

    Mvua kubwa Mtwara

    Mungu awaepushe na kila lisilo LA kheri
  10. Likuwa

    Rais Magufuli anajisikiaje anapoona Wabunge wa Upinzani wakiteseka?

    RAIS VEEP ANGALI WAKO CHINI YA MAHAKAMA .....AU SIJAELEWA UZURI...KILA HOJA JPM HATA ISSUE ZA KIMAHAKAMA JAMANI MWACHENI MKUU AFANYE KAZI ZA NCHI ...
  11. Likuwa

    Tuseme Polisi wamepewa mamlaka yakutekeleza hukumu ya kifo("laza chini") ?

    Unaanzaje kutetea majambazi/magaidi ili iweje?yaani kwako wewe umeona la hao majambawazi tuuuu....ngoja wakomeshwe maana wanesumbua sana nchini kwa kuua....rejea stakishari,kibiti,....aseee acha wapewe haki yao....
  12. Likuwa

    Watumishi wa Serikali na siasa za mishahara

    Amma kweli elimu nyingi ujinga
Back
Top Bottom