Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiumize kichwa sana mbona ameshamtuma spika wa bunge awashughulikie kule ndani na wakitoka nje yy atadir nao, ndo anadil nao hivyo mkuuNimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L
Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!
Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!
Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.
Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!
Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?
Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!
Ili upate maendeleo lazima mbegu moja ife ili mbegu mpya izaliwe.ref max
Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi na kushindwa kuishi kwa ethics za uongozi..!!
tuone basi mtu akifungwa haki gani mtu nakaa rumande miaka miwili , mwaka mmoja, niuonezi mtupu hatujaona hata fisadi anafungwa, labda lulu ndiyo fisadi, naye kafungwa kwa sababu mchanga kamuua msukuma bahati mbayaLabda ndio wapiga dili na mafisadi aliotupa ahadi atawashughulikia vilivyo!
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L
Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!
Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!
Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.
Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!
Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?
Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!
Wakati unayasema hayo, ujue kuwa binadam haoni moyo wa binadamu mwenzie ila Mwenyezi Mungu huona kilichopo ndani ya moyo wa binadamu.Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi na kushindwa kuishi kwa ethics za uongozi..!!
Mimi nimelikubali sana hili andiko lako,mtoa mada amewaona wabunge na viongozi wa upinzani tu, kasahau kuna wahalifu wengi tu wako jela na wagonjwa wengine wengi wako hospital, kuna maiti nyingi zilikusanywa kule kibiti, atueleze ni Raid ndiyo kasababisha yote haya au na yeye bangi zinamsumbua tu.Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi na kushindwa kuishi kwa ethics za uongozi..!!