Katika hao waliozikwa usiku yupo ndugu yako hata mmoja alizikwa miongoni mwao...??
Kama hayupo basi tambua hy kuzikana usiku yawezekana unaisema ww mwenyewe.
Binafsi hmn ndugu yang au mtu wng wa karb alizikwa usiku..
Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurudishwa kama zamani pia zimeboreshwa.
Huu ni uwongo kabisa wa Vodacom kwa sisi wateja wake. Mie binafsi nilikuwa mtunijai mkubwa wa kifurushi cha sh. 3000 kwa...
Mitambo mibovu kama nn. Uendeshaji wke ni wa gharama kuliko kawaida imagine spea unatafuta USA na haiwez fika kw wakat.
Muingo atulie tu aache uongo.
Toka aondolewe uwazir hajawai ongea kitu leoo ndioo anaibukaaa...
Yaaan mtu alionyeshwa picha tu, sijui video ya project jamaa kashawishikaa kaona hapa ndioo penyewe. Akasahaau kuomba kuona hata mkataba wa mradi.
Yaan matumiz mabaya ya akili kbs duu.
Huyuu spika ndio hajapata ushaurii mzurii yeye kaoneshwa faida tuuu ila side effect kafichwa na bahat mby na yye hataki kqenda mbalu kudikiria hilo.
Huo mkataba ni bola hata uwekwe wazi wananchii tuujue.
Kiukweli mtoa mada umegusa jambo la msingi sana.
Taasisi nyingi za umma kama sio zote nchini Tanzania tovuti zao zimechoka sana huwez kupata taarifa muhimu unazohitaji matokeo yake unalazimika mpk uende ofisini kwa taasisi husika kupata maelekezo madogo ambayo ungeweza kupata online na kupunguza...
Naomba kupata ufafanuzi hivi sheria imekaaje kuhusu wakuu wa Mikoa na Wilaya kustaafu. Nilikuwa nikidhani hawa watu hawana mamb ya kustaafu.
Lakini katika kipindii hiki nimeona wengi wakiistafu. swali langi ni kuwa mbona kuna wakuu wa mikia wanaonekana watu wazima zaidi na bado wapo sujasikia...
Hv hizo sampuli za papai zilizopelekwa maabara zilikuwa kwenye damu au kwenye nini. Maana nadhani sampuli zote ziwe ni damu.
Yawezekana papai ikawa na damu pia.
Nimekuelewa sana yaan ikulu ilitakiwa iwe jengo lenye ramani ya kipekeeee kweli kwlei.
La kuvutiaa ss ikulu kama mjaengo ya posta yale kuwekewa vyooo kote hapaan..
Hapo kwe.ye stand sasa etii inaitwa bus terminal....
Aha ahhaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka huelewii. Tulia uelewe ndio useme kitu. China haijazuia ndge kuingia nchnii mwake ila kila taifa ndioo inatazama kama iisipeleke.ndege zake.china ua laa.
Kumbula Ethiopia wamekataa kuzuia ndege zao kwenda china
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.