Recent content by likemike

  1. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Nawe unataka promo? Free of charge karibu inbox
  2. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Lolote linawezekana, nadhani umekariri... AC Milan haifanyi vizuri sasa, lakini sio kweli kwamba mpira umekwisha, haipo tena..Kama mpira bado unaendelea kuchezwa chances are AC Milan na timu nyingine za Italy zinaweza kutake over, kushikilia soka la vilabu kama vinavyofanya vilabu vya Hispania...
  3. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Ni kipi kinalipa jamaa?
  4. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Alitoroka hakuaga :D :D
  5. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Alikuwa amekwenda China kuchukua poda :D :D
  6. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Asee, haya zimefika
  7. likemike

    JamiiForums Tanzania Matonya arudi kwenye mziki

    Ni vigumu msanii aliyepotea kwenye game kurejea kwa kishindo kile kile. Hii ipo ata kwenye msemo wa kiingeereza – “Golden Chance Never Comes Twice,” – yaani bahati haijirudii mara mbili. Hata hivyo, kuna wakati bahati inaweza kijirudia, kama ilivyokuwa kwa Jay Moe – Pesa Madafu, na sasa Jay Moe...
  8. likemike

    JamiiForums Tanzania Wakati wa JAMIIFORUMS kurusha live vikao vya bunge umefika

    Mtoa mada uba hoja... Nafikiri live update ianzishwe na JF...kama inavyokuwa kwenye matukio...(sio audio/video) live update thread I mean...
  9. likemike

    JamiiForums Tanzania Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

    Msomaji mzuri as Guest then akajiunga ili achangie...rudia kusoma tena...
  10. likemike

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya mkeka huo...
  11. likemike

    JamiiForums Tanzania Mr. Blue afunga ndoa

    Asee mama Kheri ni kisu balaaa...
  12. likemike

    JamiiForums Tanzania Fact! 30 and above Women Get Any Man They Want And Enjoy Quality Life Kuliko 28 and below

    Nilijua mwandiko wa da Jane...
  13. likemike

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Hahaha.. Naoga kutwa mara tatu na sabuni tatu tofauti. Asubuhi ninapoamka, jioni ninapotoka kazini na baada ya mazoezi. Na kabla cjalala naupooza mwili kwa maji baridiiiii kabla cjaupumzisha. .. Upo hapo...
  14. likemike

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    KAGTECH...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom