Recent content by LIKAVALA YOTA.

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kinana apata wakati mgumu Mtwara

    We mgonjwa siyo bure!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mabilion ya ESCROW yanatosha kumaliza tatizo la madaktari Tanzania

    Duh! E bwana hawa Ccm warudishe tu fwedha zetu hawana la kutuambia.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Mama 'angu wee! CHENGE NAE HADI UKU YUPO? Dah! Jamaa anatafuta pepo hapahapa duniani. Huyu jamaa balaa duu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Dah! Watu wanapiga noti kimasiala hivihivi.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Me ni Mmakonde, ngoja nipite.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Silinde alipua juu ya ndovu

    Hao ndiyo mawaziri wa Jk majibu, yao ndiyo hivyo tena. Kaaazi kwelikweli.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Million 300 zimeombwa mwaka huu kujenga jengo la kuhifadhia dawa za kulevya

    Mpango wao wayasteki ili yakiwa adimu wapige pesa ndefu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itapata mitaa kiduchu sana, CCM kuwaburuza wapinzani

    Kusini gani unayoiongelea wewe? Muulize gamba wako Ghasia siku aliyokajipendekeza kuja kukabidhi zawadi ya min bus kwa timu ya Ndanda pale Nangwanda stadium nini kilimkuta! Hii siyo kusini unayoifahamu ya mwaka 47 gamba ww.
  9. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Sina mda mwingi naama bongo.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu 10 za Kichovu Afrika

    Kabisa mkuu, kesho utasikia majimarefu nae anawania urais.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Kabisa mkuu.
Back
Top Bottom