CHADEMA itapata mitaa kiduchu sana, CCM kuwaburuza wapinzani

Tupe data vinginevyo kichwani utakuwa na makalio ya miss Bantu
 
Mkuu, kwa vile ukawa wameamua kusimamisha wagombea wa pamoja, ni wazi kuwa watakaoshindwa ni ukawa wote na si chadema peke yao. Hilo litakuwa ni anguko la wapinzani chini ya mwamvuli wa ukawa

VP LOWASA HAJAMBO MBONA HULETI HABARI ZAKE TENA KAFUNGU ULIKOPEWA wama KAMEISHA NINI?
 
Huyu ni mpira wa kitandani mwingine!mechi ikiisha unatupwa,endelea ku2mika kalambem na buku 7!
 
Aina ya upinzani wa chadema haina tija wala umuhimu kwa wananchi hali inayopelekea chama hicho kufifia na kukosa mvuto kwa jamii.
Tathmini iliyofanyika mikoa ya pwani, kusini na kati pamoja na kanda ya ziwa imeleta uhakika wa kichwa cha habari hii kuwa sasa chadema imebaki wasindikizaji tu, haina mvuto wala ukubalikaji kwa wananchi. Tr 14.12.2014 ni siku mpya ya anguko kuu kwa magwanda....

Utakuwa Umevurugwa si bure,ccm ilishachokwa kitambo imebaki kubebwa na hii tume ya kimagamba pamoja na policcm.hivi umeongelea kanda ya ziwa ipi hiyo? Au kuna kanda ya ziwa nyingine hapo lumumba buku 7?
 
Mtakuja na kila aina ya uharo lakini mwaka huu hamchomoki! Ccm imechoka na kuchakaa na sasa tunaisindikiza kuzimu tu!
 
Hii nayo inaingia kwenye mahesabu ya buku 7
 
Achana nao maprofesa wa makalio wa kichina hawa ccm...ni shida mtupu.
 
Hata ACT?
Aina ya upinzani wa chadema haina tija wala umuhimu kwa wananchi hali inayopelekea chama hicho kufifia na kukosa mvuto kwa jamii.
Tathmini iliyofanyika mikoa ya pwani, kusini na kati pamoja na kanda ya ziwa imeleta uhakika wa kichwa cha habari hii kuwa sasa chadema imebaki wasindikizaji tu, haina mvuto wala ukubalikaji kwa wananchi. Tr 14.12.2014 ni siku mpya ya anguko kuu kwa magwanda....
 
Kusini gani unayoiongelea wewe? Muulize gamba wako Ghasia siku aliyokajipendekeza kuja kukabidhi zawadi ya min bus kwa timu ya Ndanda pale Nangwanda stadium nini kilimkuta! Hii siyo kusini unayoifahamu ya mwaka 47 gamba ww.
 
Utakuwa Umevurugwa si bure,ccm ilishachokwa kitambo imebaki kubebwa na hii tume ya kimagamba pamoja na policcm.hivi umeongelea kanda ya ziwa ipi hiyo? Au kuna kanda ya ziwa nyingine hapo lumumba buku 7?
Ccm haiondoki madarakani daima
 
Sredi imevamiwa na mbulumundu wa Lumumba, hadi inatoa harufu
 
Ccm haiondoki madarakani daima

Wenzio wakenya nao wlikuwa wanasema kama wewe lakini mvua iliwanyea baadae. ka muulize babu yako wa Burkinafaso we utashindana na wananchi walio kuchoka?
 
Sasa dada tatamatiba wewe umeishatoa maoni yako acha na wengine nao tuchangie
 
Aina ya upinzani wa chadema haina tija wala umuhimu kwa wananchi hali inayopelekea chama hicho kufifia na kukosa mvuto kwa jamii.
Tathmini iliyofanyika mikoa ya pwani, kusini na kati pamoja na kanda ya ziwa imeleta uhakika wa kichwa cha habari hii kuwa sasa chadema imebaki wasindikizaji tu, haina mvuto wala ukubalikaji kwa wananchi. Tr 14.12.2014 ni siku mpya ya anguko kuu kwa magwanda....

Zungumzia huko huko kati,si kanda ya ziwa,huku hata mtumie hela hamna chenu,pumbavu,na usirudie kusema eti chama kinakosa mvuto,kwa taarifA yako mi ccm ndiyo inakosa mvuto kutoka na mbinu zake nyingi kugundulika na jamii,mbinu za kjijnga kabisa,pumbavu
 
Umekuwa shehe Yahya Hussein tangu lini? Kama mnao huo uhakika kwa nini mnawatuma wahuni kufanya fujo kwenye Kongamano la Katiba?
 
Aina ya upinzani wa chadema haina tija wala umuhimu kwa wananchi hali inayopelekea chama hicho kufifia na kukosa mvuto kwa jamii.
Tathmini iliyofanyika mikoa ya pwani, kusini na kati pamoja na kanda ya ziwa imeleta uhakika wa kichwa cha habari hii kuwa sasa chadema imebaki wasindikizaji tu, haina mvuto wala ukubalikaji kwa wananchi. Tr 14.12.2014 ni siku mpya ya anguko kuu kwa magwanda....

Ukapimwe akili, hili jukwaa halikufai
 
Sikutegemea kama mpaka leo una kiwewe cha Chadema. Zitto alipotimuliwa Chadema,ukasema Chadema imekufa,leo hii ni Chadema ipi unayoizungumzia au ndiyo kiwewe? Chadema haifi hata kama atabaki mtu mmoja. Chadema ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo. Mimi nasubiria tu safari hii CCM itatumiaje singo yake ya udini kwa upinzani.
 
Back
Top Bottom