Recent content by Likasu

  1. Likasu

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Kama unataka kuwa philosopher muoe
  2. Likasu

    JamiiForums Tanzania Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Take it from me wanandoa wanaoongoza kwa kuuana ni wa dini fulani.
  3. Likasu

    JamiiForums Tanzania Wenye Baa tafadhalini Pandisheni Bei ya Chupa za Maji!

    Wengine wanasema wanaoenda bar kunywa maji huwa ni Wambea Ila ngoja waje
  4. Likasu

    JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Yaani una familia na hujui vitu vya kuwa navyo.
  5. Likasu

    JamiiForums Tanzania Kupatanisha wanandoa

    Ndoa nyingine ni za kuachanishwa vinginevyo itasababisha LUONGOLISM.
  6. Likasu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

    Tatizo ninaliona ni kwamba Lisu anataka kuleta upinzani wa kweli.
  7. Likasu

    JamiiForums Tanzania Mume na Baba wa familia anahitajika

    Umeshafika >30 punguza vigezo. Kuna wafanyabiashara wenye tabia njema hawajafikia hiyo hatua ya elimu wana sifa za kuwa mume.
  8. Likasu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

    Nyinyi TANESCO inashindikana vp kuziunganisha luku na application yenu ya tanesco ? Mbona ni jambo dogo ?
  9. Likasu

    JamiiForums Tanzania Nikinyoa mme wangu atangundua nimefanya mapenzi"

    Acha kutembea na wake za watu. Yatakukuta.
  10. Likasu

    JamiiForums Tanzania Masikini wana chuki na mimi kwakuwa wamezeeka hawana pesa

    Masikini wamefikia hatua wanasema eti huna vidole vya miguu.
  11. Likasu

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya Msigwa kumlipua Mzee Ali Kibao ina ukweli gani?

    Inawezekana alikua kama chipset kwenye simu.
  12. Likasu

    JamiiForums Tanzania Wadau hapa sijapigwa na kitu kizito kweli?

    Umejichanganya kumuuliza. Ungesubiri akueleze yeye mwenyewe. Kama huamini mstukize akutumie picha ya kadi ya kliniki mwambie inahitajika haraka sana usimpe muda kuandaa kadi feki. Akikutumia baada ya siku 2 jua umepigwa.
  13. Likasu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutaja majibu ya kukatisha tamaa, ya hovyo au kuchefua ulowahi kuyapata kutoka kwa shangazi zako

    Zingatia kwamba mama yako pia ni shangazi kwa watoto wa kaka yake.
  14. Likasu

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimeza punje za vitunguu swaum mwili unaanza kuleta ghasia?

    Kwa kweli tuna safari ndefu sana.
Back
Top Bottom