Recent content by lijumbete

  1. L

    Nilitegemea aseme medical attendant asifanye kazi ya Nurse na si kumzuia Nurse kuuza dawa

    Unaposema wafamasia in layman language means all pharmaceutical carde. Labda waziri kajiandaa kuajiri hawa watu in huge amount. Hoping for the best Kila mtu afanye alichosomea huu mtindo wa manesi na madaktari kupenda sana kazi ya kutunza dawa na kuwapatia wagonjwa unakwenda kukoma Sent using...
  2. L

    Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Ivi clouds tv ni sawa na tbc? Maana kila kiongozi yuko huko why not TBC1
  3. L

    Pharmacy council

    Yani wafamasia wafanye mtihani kila mwaka kisa kuna wanaolewa?? Uko serious kweli?? Why only pharmacist wafanye exams??? Au una chuki binafsi na pharmacist. Ulitakiwa u declare interest
  4. L

    Serikali yakusanya kodi zaidi ya Trilioni Moja mwezi Februari 2016

    Katibu Mkuu huyo ameongeza kuwa Mkoa wa Dar es salaam imeongezewa shilingi bilioni 2 ili kupanua uwezo wa udahili kama Rais alivyoahidi katika mkutano wake na Wazee wa Mkoa huo........ HUO UDAHILI SIJAELEWA HAPO WAKUU..
  5. L

    Dr Kigwangala toa aibu hii Afya Mikoa zaidi ya 10 Haina waganga Wakuu wa Mikoa kwa zaidi ya mwaka 1

    Mtoa post unataka hivyo vyeo nini?? Tatizo la wizara ya afya ni hayo mavyeo ya kugawiana au upungufu wa dawa na vifaa tiba, kukosa posho ya extra time, wizi wa dawa, na uhaba wa wataalamu watakaokuwa commited to serve the citizens. Hao ma dmo na rmo wao ni vikao tu daily na posho.
  6. L

    Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli?

    Dawa kama dawa kwa sasa zimepigwa chapa ya GOT ka unabisha ni text namba ya whatsap nikutumie picha
  7. L

    Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli?

    Labda you are not informed. Dawa zote za serikali huwa kwa sasa zina nembo kwenye kidonge chenyewe imeandikwa GOT. Kuiba na kuipeleka duka binafsi unaweza ufungiwe duka.
  8. L

    Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli?

    Let me declare interest. Mm ni pharmacist. Sina shida na kuyaondoa maduka hayo jirani bali lzm kuandaliwe utaratibu wa kuongeza budget ya dawa kwa hospitali. Mfano kuna hospitali ilikuwa inatengewa hela ya dawa kwa mwaka 1.5b lkn mwaka huu wa fedha imepewa 360M hapo utakuwaje na dawa? Pia ka...
  9. L

    Mpasuko mkubwa CHADEMA Ludewa wanachama wake wahamia ACT Wazalendo

    Lets be honest yule mgombea wa mwanzo alisikika akishangilia deo filikunjombe kupita bila kupingwa hata vyombo vya habari vilionyesha hilo tukio. Nilichogundua binafsi ni mbinu chafu za hao watawala kuleta mapandikizi upinzani.
  10. L

    Prof. Mark Mwandosya leo ni zamu yake ya kutangaza nia

    Asante ngoja tumsubili. Lkn hajawa consistant kwenye muda.
  11. L

    Africar Kagema: Nitagombea Ubunge Kyela

    Karibu kwenye group la kyela members fb upate challange huko
  12. L

    Moto wa UKAWA waunguza CCM Kyela, Meya, Diwani wavuliwa uanachama

    Hujanijibu swali mkuuu yani amefanya mambo gani ya kuweza kutushawishi tumuone kipija ni bora.. Kumbuka hata huyo alinyakua nafasi ya Visk Mahenge na wengi mlilalamika sana
Back
Top Bottom