Nilimsaidia ili nimgegede, akakataa kugegedwa ili aniokoe!

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,207
Jumamosi nilikuwa nje ya mkoa ninaoishi (nalo pia ni jiji) huko nilikuwa kikazi na hata ule mkakati wangu wa kumgegeda rafiki yake na wife alotumia namba yake ili anifumanie niliusitisha kwa muda....... Nawasimulia nilokutana nayo huko ambayo ni kweli tupu.

Baada ya kufika mapema tu na kuanza hatua ya kwanza ya kazi ilonipeleka baada ya muda nikaona ni vzr nikapumzike ili nimalizie j2 na ikibidi niondoke.....nikaenda hotel moja nzuri tu ya hadhi ya kawaida ambayo pia imeunganika na sehemu ya baa, baada ya kuoga na kupata chakula nilianza kujinywea vibia vyangu vya kutoa uchovu na kutafutia usingizi......nikiwa pale nikajikuta nimevutiwa kuiangalia couple moja iliyopendeza sana, mwanadada mmoja mzuri sana na mwny figa bomba na hata uvaaji wake uliniridhisha na kufanya niamini kuwa ni binti wa kisasa, kwa upande wa jamaa yake ckutaka kufatilia sana hata alivyovaa lakini anaonekana uchumi wake kiasi flan uko vzr.....hivi vijisenti vya kubadilishia mboga na kukaa baa kila cku kunywa bia mbili tatu na kitimoto'z sio ishu ngumu kwake, na ana ka kitambi flani hivi ka kuchezea hizi sebene zetu kwny live band.

Cjui ni nini tu, lakini nilijikuta nimevutiwa sana kuwaangalia.....na nikajikuta kawazo kanaingia kichwani kwamba cjui kwann tu ckutoa bandiko la kuwaalika madada wa jf kuwa niko pande hizo yani ningesema:- kwa mdada aliye pande za......leo nimewatembelea hebu jitokeze uninywee vibia vyangu hapa (angejitokeza yyte kweli angekunywa then ningemgegeda) wale watu walikuwa kimahaba sana.

Nikaona ili nisiendelee kuumia moyo ni bora tu nikalale, maana kwa mambo waliyokuwa wanafanya pale na mi ningejikuta nadondokea hata ambae ckumtarajia, nimeingia chumbani nikabadili nguo najiandaa kulala ghafla nikackia purukushani nzito huko nje na chupa zinavunjwa hovyo, kwa kifupi nikahic kabisa pale amani imepotea na wazo la kwanza kupita kichwani ni kwamba ile hotel imevamiwa.......nikachukua ka manati kangu ka kizungu huku natabasamu nikiwaza kwamba leo kwa mara ya kwanza ndo nakatumia kumpasua mtu ubongo.

Nikaamua kutoka nje, ile nafungua mlango kwa tahadhari kali ghafla mlango wangu ukasukumwa na mtu akajitosa ndani kwa kishindo vuuuuup! Nikakwepa haraka sana halfu nikageuka kwa wepesi kuangalia aliko mvamizi wangu ili nisukume mashambulizi........nikashindwa kufanya lolote, kidole kilichokuwa kwny trigger kikafa ganzi na kushindwa kujikunja ili kufyatua risasi....... Alikuwa ni yule mwanadada!

Nikabaki nimemtulizia macho nikijaribu kuelewa kinachotaka kutokea, akanisihi sana anaomba nifunge mlango......nikafunga lakini nikiwa na tahadhari nae sana kwamba amekuja pale kimtego au kuna tatizo gani, huko nje vurugu ikiwa imepamba moto kweli kweli.

Nikaamua kutoka kabisa nje halfu nikamfungia mlngo funguo nikatoka nayo, kule nje nikakuta mwanamke mmoja kamkiwida vbaya sana yule jamaa mzee wa kitambi cha sebene huku watu wakijaribu kuamua bila mafanikio, fulana aliyokuwa kavaa imekuwa kama tambara la kudekia na anavuja damu kichwani, kumbe alipigwa chupa........yule mwanamke ktk kufoka kwake nikaja kugundua kwamba yeye ndo mke wa jamaa na pale aliaga amesafiri...... Story ndefu kdg nisiwachoshe.

Itaendelea hivi punde.
 
General Galadudu, hii mitungo yako huwaga unaifanyia reheasal muda gani?
 
Vizuri my general
Endeleya utupe vitu
 
Back
Top Bottom