Recent content by ligolyser

  1. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwenye jeep cherokee grand, naomba ushauri

    umeongea kitu kizuri sana mkuu,asante boss
  2. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwenye jeep cherokee grand, naomba ushauri

    ushauri mzuri sana huu mungu akubarik,,nilinunua kwa mtu ila nikaja kugundua kua inakunywa mafuta saana kama 5km/ltr,miss ipo boss
  3. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwenye jeep cherokee grand, naomba ushauri

    wasengerema kama wewe waga mnatumia mat-ko kufikiria pumb-vu,na karibu tena
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta car music amplifire

    whats ngap
  5. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwenye jeep cherokee grand, naomba ushauri

    Asante mkuu lakini gari waga siitumii mara kwa mara
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta car music amplifire

    Naitaji iyo kitu my offer 80000 call 0756664797
  7. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwenye jeep cherokee grand, naomba ushauri

    Nina jeep cherokee grand limited ya mwaka 1996,fuel consuption yake kidogo hainipi matumain,kuna fundi akaniambia ni kwakua haina return ya mafuta (wataalam mnanielewa) ivo mafuta yakienda yameenda tofauti na magari mengine yenye return, So nikagusia ishu ya kuibana isinywe bado sijapata fundi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuondoa tatizo hili kwenye iPhone

    asante mkuu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuondoa tatizo hili kwenye iPhone

    sasa chief mkwawa tunafanyaje kuondoa tatizo hilo
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniudhi tena

    we pigapiga kelele tu fa..a wewe,subiri baba mkwe aje akusaidie ndio upate akili,izi ndoa za utotoni waga zinasumbua sana,
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniudhi tena

    acha ujinga wa mawazo finyu,wewe mwenyew yamekushinda umekuja kuleta janvini watu wakusaidie,tena wengi wao huwafahamu kwa id zao za uongo,lkn yeye kusema kwa baba mkwe imekua kesi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuondoa tatizo hili kwenye iPhone

    Nilinunua iphone 4s kwa mtu lkn siielewi kabisa, nikitaka kuweka vocha yenyewe inapiga simu, nikitaka kuangalia salio yenyewe inapiga simu na kusema namba haipo
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jeep Cherokee grand exchange deal

    ni ya mwaka 1996,engine capacity 3900,na imetembea km 780000,alikua anaitumia mzimbabwe akarudi kwao so ipo imepaki kweny yard ya kampuni(kagera sugar),nimeinunua mimi juzi tu bt haina tatizo lolote lile bali toka jamaa aondoke haijawai kuendeshwa zaid mimi nilifanya test juz iyo,na duty...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii bikra inaninyima raha kabisa

    asante mkuu nafanyia kazi ushauri huu,
Back
Top Bottom