matengongolo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 305
- 104
Mi nasubir taarifa nyngne over..
Ndio nmemwambia na ameniomba nmsamehee kwa hilo.
Mie sijaleta tatizo langu hapa nipate soln coz she still my wife even though.....
Nmetoa taarifa tu ili kushare experience na watu wa rika langu.
Labda unifundishe ni habari gani ambayo inatakiwa iwepo....nakwani kuileta ndo kutaka ushauri...
acha ujinga wa mawazo finyu,wewe mwenyew yamekushinda umekuja kuleta janvini watu wakusaidie,tena wengi wao huwafahamu kwa id zao za uongo,lkn yeye kusema kwa baba mkwe imekua kesiJuzi nilileta taarifa ya wife kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tumedraft ratiba ya chakula kwa wiki nzima nkamsamee.
Sasa kama wiki ya pili kuna suala ambalo tunalishughulikia kwa pamoja na nmemshirikisha wife kwa 100% ingawa mie ndio ninayeangaika nalo.
Wife aliponiudhi ni pale alipo mwambia baba yake yaani baba mkwe wangu,Jana amenipigia simu na kunieleza yale yote ambayo yapo mezani kwetu tuliyopanga na wife.....na amesisitizia ilo suala ni gumu na anajitolea kutusaidia..nilikosa jibu la kumpa na kuhisi wife amenidhalilisha
Ukizingatia mkwe wangu ni muhafidhina sana mpaka nahisi labda anaona mwanae hayupo eneo sahihi
Nmekasirika sana mpaka nahisi kukimbia kabisa nisionekane tena.
My take....wanawake msipende kushirikisha watu kwenye mambo yenu wawili hata kama baba ako ni tajiri ana uwezo wa kusolve iyo problem.
Natoa taarifa ya wife kuniudhi tena ndani ya 2015...over
acha ujinga wa mawazo finyu,wewe mwenyew yamekushinda umekuja kuleta janvini watu wakusaidie,tena wengi wao huwafahamu kwa id zao za uongo,lkn yeye kusema kwa baba mkwe imekua kesi
Huyu mwanaume
mwenzenu nae ni tatizo, vimambo vidogo vidogo ndio hadi alete jf, hawezi
kuwa baba kama hawezi kuhimili vimambo vidogo vidogo, sasa yeye
anakimbilia jf, mkewe sijui kwao, hiyo nyumba mauzauza. kuna mambo
mwanaume anapaswa kuamua kiume yeye kama baba. jifunzeni nyie
watoto
We endelea tu na shobo zako izo...nani amekwambia yamenishinda na nataka kusaidiwa....
Wasengerema kama nyie mnaokurupuka dudu ikigusa gololi mi natupa kule....shwain
Hivi wewe ni mwanaume kweli?Juzi nilileta taarifa ya wife kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tumedraft ratiba ya chakula kwa wiki nzima nkamsamee.
Sasa kama wiki ya pili kuna suala ambalo tunalishughulikia kwa pamoja na nmemshirikisha wife kwa 100% ingawa mie ndio ninayeangaika nalo.
Wife aliponiudhi ni pale alipo mwambia baba yake yaani baba mkwe wangu,Jana amenipigia simu na kunieleza yale yote ambayo yapo mezani kwetu tuliyopanga na wife.....na amesisitizia ilo suala ni gumu na anajitolea kutusaidia..nilikosa jibu la kumpa na kuhisi wife amenidhalilisha
Ukizingatia mkwe wangu ni muhafidhina sana mpaka nahisi labda anaona mwanae hayupo eneo sahihi
Nmekasirika sana mpaka nahisi kukimbia kabisa nisionekane tena.
My take....wanawake msipende kushirikisha watu kwenye mambo yenu wawili hata kama baba ako ni tajiri ana uwezo wa kusolve iyo problem.
Natoa taarifa ya wife kuniudhi tena ndani ya 2015...over
Wewe ni mboga tu... Wanaume hawapigi Kelele za kingese kuhusu wake zao mitandaoniWe endelea tu na shobo zako izo...nani amekwambiia yamenishinda na nataka kusaidiwa....
Wasengerema kama nyie mnaokurupuka dudu ikigusa gololi mi natupa kule....shwain
Hivi wewe ni mwanaume kweli?
Bitching all around isn't a character of men
You need to man up or shut up
Wewe ni mboga tu... Wanaume hawapigi Kelele za kingese kuhusu wake zao mitandaoni