Naomba msaada wa kuondoa tatizo hili kwenye iPhone

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Nilinunua iphone 4s kwa mtu lkn siielewi kabisa, nikitaka kuweka vocha yenyewe inapiga simu, nikitaka kuangalia salio yenyewe inapiga simu na kusema namba haipo
 
Seems kama haina ussd badala ya kuomba request inapiga, huwenda ikawa imetoka mitandao ya cdma. zamani ilikuwa unaweza kuongeza salio kwa kupiga 104 na kuuliza salio kwa kupiga 102 jaribu kufanya hivyo
 
Simu za cdma hazina slot ya simcard sasa yeye itakuaje useme tena maybe imetoka kwenye mitandao ya cdma?
 
Seems kama haina ussd badala ya kuomba request inapiga, huwenda ikawa imetoka mitandao ya cdma. zamani ilikuwa unaweza kuongeza salio kwa kupiga 104 na kuuliza salio kwa kupiga 102 jaribu kufanya hivyo

sasa chief mkwawa tunafanyaje kuondoa tatizo hilo
 
Nilinunua iphone 4s kwa mtu lkn siielewi kabisa, nikitaka kuweka vocha yenyewe inapiga simu, nikitaka kuangalia salio yenyewe inapiga simu na kusema namba haipo

hata mimi inanifanyia hivyo ivyo nikiangalia salio yenyewe inapiga nikitaka kuunga kifurushi yenyewe inapiga ni baada ya ku update na kuwa 8.1 mpaka sasa bado ni majanga tu
 
Seems kama haina ussd badala ya kuomba request inapiga, huwenda ikawa imetoka mitandao ya cdma. zamani ilikuwa unaweza kuongeza salio kwa kupiga 104 na kuuliza salio kwa kupiga 102 jaribu kufanya hivyo

mi nimejaribu kuongeza salio imekubali kwa hiyo njia kuangalia imekubali utata kuunga kifurushi ndo imekuwa majanga.
 
Back
Top Bottom