Recent content by LIGEDENGE 1

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Nashukuru kwa taarifa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Naomba kujulishwa wanatakiwa kuripoti tarehe ngapi?. maana nina dogo anatakiwa huko.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 150 linauzwa mkoani njombe

    shamba lipo kijiji cha mgala kabla hujafika kifanya,na lipo umbali wa km 40 toka songea road.linafaa kwa kupanda miti,bei ni tshs. laki 1 kwa kila ekari 1. 0718317773
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa kina ufanyike katika shule ya ST. Benedict Njombe

    Wahusika wa haki za wafanyakazi piteni katika shule hii. Watumishi wananyanyasika sana, si mwalimu wala mfanyakazi wa kawaida. Hawalipi wafanyakazi mishahara kwa muda muafaka. Mishahara inalimbikizwa hadi miezi 7 hadi 10 mtu hajalipwa haki zake. Ukijifanya mfuatiliaji, unapelekwa polisi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    kumekuchaaa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge njombe kusini 2015

    jamani wana njombe kusini,nani atasimama kugombea hiyo nafasi. maana kimya hadi sasa,au maza atatetea jimbo kama kawa?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Usalama umezingatiwa

    hivi vituko unavioteaga wapi wewe?.. nomaa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hongera wizara ya elimu

    ni upepo tu unapita
  9. L

    JamiiForums Tanzania LiveCam From Mabibo

    duh ova njuka...matranka tena?.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Morogoro road ilijengwa mwaka gani?

    Barabara ya morogoro road?...ndiyo nini?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vhs to dvds conversion

    naomba uni pm namba zako nikucheki. nahitaji kubadili vhs to dvd. msaada
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    wapo watakao nielewa.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    wananchi tunataka maji, bla bla zenu hizo,tupa kule
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Ni miezi kadhaa sasa tangu tupate maji ya dawasco ubungo msewe...au ndiyo kumkomoa mnyika na wananchi wake? mnyika wapi sasa?,raia wako tunakufa huku. au mwakani tuangalie upande wa pili kama umeshindwa?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    mawazo finyu+uvivu wa kufikiri
Back
Top Bottom