Namasangya
Member
- Jul 28, 2014
- 43
- 14
Elimu ya Tanzania itaboreshwa na watanzania sisi wenyewe kwa kuungana na kuwa kitu kimoja tukiangalia wapi tumeanguka then nini tufanye tuweze kusimama kidete. Sio muda wa kutafuta mchawi huu. Ni muda wa mabadiliko. Lugha za matusi na kashfa zinaturudisha Misri jamani. Tuweke mipango mikakati ili tutoke kwenye hili jangwa la elimu mbovu tufike kanaan kwenye matarajio yetu tunayoyataka.