Recent content by Ligamba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Suala la Kibu Dennis na Fifa ranking, tutakoswa adhabu kweli?

    Mkuu comment zako sio za kiungwana na sio za kiuanamichezo kbs, Yanga unaiona tamu kwasababu ya Simba nzuri, na huu ni mpira lengo ni burudani, usikaze meno sana.
  2. L

    JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

    "The return of champion"
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Pole sana, hapo huna jinsi mzee, mkeo amekuacha na kubali kuachika, naamin umewahi kuacha ilikuwaje pale uliyemuacha akiendelea kung'ang'ania kubaki nawew, najua ilikuwa kama kero kwako vivyo ndivyo itakavyokuwa kero kumng'ang'ania huyo mwanamke, najua inauma kwa kuwa ni mkeo wa ndoa ila hamna...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Biashara United (Mara) | Special Thread

    Wamedai kuna shida ya kibali huko Djibouti
  5. L

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa duka la dawa anatakiwa

    Lakin nyumba na kila kitu ajitegemee mwenyewe sio??
  6. L

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa duka la dawa anatakiwa

    Nishauri ifike ngap angalau? Hatokaa kwangu, nitampangia na kumnunulia kila kitu na chakula
  7. L

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa duka la dawa anatakiwa

    Unaweza nishauri pia, maana hapo malaz na chakula ni juu yangu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa duka la dawa anatakiwa

    Eneo la Kazi ni Kibiti Pwani, awe msichana anayeweza kufanya kazi kt mazingira ya kijijini kidogo. Biashara ni ndogo na inaanza ila kwa eneo lilivyo baada ya muda mfupi nategemea matokeo makubwa. Akiwa mkristo ni lazima ahudhurie kanisani, na akiwa muislamu hali kadhalika. Mshahara kwa kuanza...
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeandikiwa msg hii!

    Ndo maana malalamiko ya kukosa ajira yanaongezeka, taka taka kama hizi eti uziajili kwenye kampuni au taasisi yako, mafiiiiii
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

    Ahsante sana Mkuu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

    Noted
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu (public figures) watano ambao Taifa linapaswa kujivunia

    Nadhan unatania bila shaka
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

    Nimeona tu nikafanye kazi Kiongozi then nitaona namna ya kuendelea na shule
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

    Nimekupata vema sana. Ngoja nikafanye kazi, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

    Ahsante sana
Back
Top Bottom