Recent content by lift gharama

  1. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Wanazuia wakulima kuuza mazao yao nje huku serikali pia ikiingiza vyakula vingine kutoka nje. Hivi kweli serikali inajali wakulima? Wakulima wamelima alizeti ya kutosha serikali inaingiza mafuta ya alizeti kutoka nje. Hivi huyu mkulima ataendelea kweli. Hapo hujaweka hizo gharama za kilimo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta diagnosis machine

    Hello members, Natafuta mtu mwenye kuuza Diagnosis machine ya magari yote iwe mpya au used. Au kama kuna mtu mwenye software ya Diagonis machine aniuzie kwa ku install kwenye laptop yangu. Karibuni
  3. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA PLATZ FOR SALE

    Nina 3m kama inafaa njoo inbox
  4. L

    JamiiForums Tanzania Lift kwenda Arusha toka Dar

    Utaweza kuvumilia changamoto za gari ya private? Inapita Tanga kusalimia marafiki inakaa muda, kisha Korogwe kuna family friend wanapitia wapate matunda na mengine, ikifika Himo inapitia Marangu kumsalimia bibi na babu kisha moshi nako kuna ishu mpk ufike Arusha umekoma
  5. L

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jamani Arsenal imekumbwa na jinamizi gani?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Proposal/research

    Naomba waandishi wa proposal na research tuonane DM ni kazi. Karibuni sana.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua nitawezaje kujua kampuni halali ya kufanya malipo online

    Wadau salamu kwenu. Naombeni kujua nitawezaje kujua kampuni halali ya kufanya malipo online. Niliwahi kununua kitabu online nilikoma. Majamaa wakaendelea kukata hela kwenye akaunti yangu kila wiki kwa viwango tofauti. Nisaidie nitajuaje kampuni halali na fake. Asanteni. Jumapili njema.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya kununua

    Nahitaji pikipiki kama kuna mtu anauza used pikipiki especially Boxer or TVS anicheck DM
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Salute boss. Hivi Yule wa Haydom umemwacha? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari. Bajeti yangu ni milioni 8 hadi 10

    Asante mkuu. Ngoja nimcheck Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari. Bajeti yangu ni milioni 8 hadi 10

    Hello members. Natafuta gari iliyokaa vizuri. RAV4 au Harrier hela ninayo kwenye mfuko wa shati. Aliyeko na biashara serious please ni pm. Bajeti yangu 8m -10m. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina ya mwanaume wanadharauliwa wanawake zao

    Naomba niongezee sauti ++++++
  13. L

    JamiiForums Tanzania Laptop used inahitajika kwa haraka

    SPECIFICATION Hard Disk 500GB RAM 4GB Processor Dual Wenye mzigo PM plz. Very urgent
  14. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Tz baada ya kutest Kombora la masafa marefu

    Hiyo kombora itamwacha sala huyo wa mbele kweli?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasiofanya kazi ni mzigo kwa jamii

    Kuna moja amenishinda tabia. Nilimwaprochi. Cku moja Akaniomba nimpeleke mahali kwenda huko akaomba nimnunulie kitu cha laki 2 dukani kwa rafiki yake. Nikalipa. Nikaomba mechi akasema bado nisubiri. Wiki iliyofuata akaomba simu nikampa ya laki 4. Na bado nauli akaniomba nikamkumbushia mechi...
Back
Top Bottom