Halafu mtu kama huyo akisikia baba yake amekufa unakuta analia msibanu hadi anazimia. na msiba ukiisha anaenda kuchora chata kifuani anaandika i love you dad.
Madhara yapo kwa baadhi ya simu. kuna simu nyingine inaweza kupoteza imel kwa mfano samsung note 3. uki reset nyingi huwa zinapoteza imel
Na kuna simu nyingine ukireset inaweza kuishia njiani nk.
Lakini kuna nyingine hata ureset mara 100 haiwezi kuleta shida yoyote.
Wanasema tanzania ni moja wapo ya nchi dunia ambazo wananchi wake wanaongoza kwa kutokuwa na furaha kabisa. na tena wamezidiwa hadi na congo.
Halafu tena hiyo hiyo tanzania ndio nchi inaongoza kwa amani.
Hivi Hilo swala linawezekana vipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.