wanahalibu? siyo wanaharibuPumbavu hawa ndio wanahalibu uwezo wa kufikiri vijana wetu,wanataba kila mtu awe kama Dr.Bana, Bashiru na Prof. Kabudi
Barua imetumwa kwenye magroup yetu ya WhatsApp ya chuoni UDSM.View attachment 798750View attachment 798751View attachment 798752
Mkuu nimeiangalia hiyo barua ikiwa ni pamoja na uandishi ambao hauzingatii wapi uweke herufi kubwa na herufi ndogo, nimejiaminisha kwamba hii ni ya kughushi. Watu wanajitafutia vifungo mchana kweupe.Acha kutengeneza barua ya kugushi utafugwa kijana na hakuna atakusaidia humu JF. Fuatilia masomo yako kijana!!
Kama CCM ipo ICU Chadema itakua kaburini kabisaHiki chama kiko ICU muda wowote kinakata roho na hata watu wa kujitolea kukizika watakosena.