KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,932
- Thread starter
- #21
hua nabakia kucheka tu mtoto akifanya vituko vyake, aliivunja simu yangu eti kisa haiwaki
Hahah.
Yani hawa hata ukiwaambia imeisha charge hakuelewi u inachukua muda mref sana kukuelewa aisee. Huku akiwa ameshakupa kash kash za kutosha mkuu.
Acha tu.