Ubahili.Sijui ni ubahili na kutaka kulewa haraka?
Sijui ni ubahili na kutaka kulewa haraka?
Siyo ubahili mkuu..ni heshima hiyo hata mizimu yako husogea karibu.Sijui ni ubahili na kutaka kulewa haraka?
Sababu we ni mwanaume wa dar endelea kunywa savannah mzee,hii faru john tuachie sisiHuo ukemia sio wa nchi hii. Ila siku hizi 'ngumu' zinanitesa sana nimebaki kwenye laini tu
Itakuwa mizimu ya watu wa Dar hiyo.Hapana mizimu yangu hainywi mchanganyiko