Yani waziri mwigulu haaminiki Tena kwa kauli zake huyu ndiye aliyewahi kutuambia uongo eti magufuli yupo ikulu anachspa kazi kumbe rais wetu ni marehem tayar,aliwadanganya watanzania.
Nadhani baadhi ya viongozi wa serikali wanatumia ukimya was watanzania na uoga wa watanzania kufanya maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.