Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

Wapambanaji mambo ni vipi,

Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni.

Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata million sita na point kazaa ila sasa shida inakuja kwenye kuchagua biashara ya kufanya kwani sipati majibu sahihi.

Humu ndani kuna wataalam wa masuala ya biashara nipeni ushauri nifanye biashara gani ambayo nitaona matunda,? Nipo dsm.

NB: Atakae nipa business plan nzuri zawadi ipo
Kunywa gongo
 
Njoo tulime tikiti mkuu
Tumekosa mtu mwenye mtaji tu wa kushirikiana nae.
Tupo wawili, mmoja ni expert wa haya masuala muda mrefu.

Ardhi ipo wala sio ya kukodi, rutuba ya kutosha
Maji yapo (ya mto mara na mabwawani, yanapatikana muda wote).

Wateja wa tikiti wapo wala sio wa kuhangaikia (kutoka kenya, tarime, musoma na serengeti)

Ikipatikana milioni 2 inatosha kabisa

Uwezekano wa kupata 4 mil net profit (baada ya miezi mitatu) kwa kila mmoja wetu baada ya kuondoa mtaji (2mil ) upo kabisa.

💪Kilimo hiki huanza mwezi wa 5

Karibu sana (nashauri uje kabisa tuonane ili kuongeza uaminifu zaidi)

Eneo la kilimo ni wilaya ya serengeti

Kata ya kisaka

Kijiji cha Borenga

Katika bonde la mto Mara

Mawasiliano: 0744033555

Cha kuogopesha mwisho huishi kutapeliana, uaminifu ni tatizo kubwa kwenye partnership business Zaidi mnapokua hamujuani.
 
Wapambanaji mambo ni vipi,

Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni.

Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata million sita na point kazaa ila sasa shida inakuja kwenye kuchagua biashara ya kufanya kwani sipati majibu sahihi.

Humu ndani kuna wataalam wa masuala ya biashara nipeni ushauri nifanye biashara gani ambayo nitaona matunda,? Nipo dsm.

NB: Atakae nipa business plan nzuri zawadi ipo
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176
JPEG_20210328_103551_348811430.jpg
 
Back
Top Bottom