Recent content by life style

  1. L

    Milard Ayo unakera sasa kwa kiki za kijinga

    Wabongo tunacomplicate maisha sana ...habari zote muhimu zinazotokea ndani na nje ya inchi still anaziripoti tena ontime...kupost jokes kwa vipost viwili vitatu tena mtu anamind...kama humpend huyo likwid sijui vumilia tu siku mbili tatu atapita..kwa sababu hana cha kumfanya aendelee kutrend kwa...
  2. L

    NAOMBENI USHAURI: Nifanyeje niweze kurudi katika utumishi (kurudishwa kazini)

    Kitu cha msingi kwenye maisha ya utumishi ni documentation...ulipochelewa kurud uliwaandikia barua waajir wako? Uliwataarifu kama unaumwa tena kwa barua ...ngumu sana kurud kazn kama walikuteminarte kwa utoro..japokuwa hakuna kinachoshindikana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

    . O level nilikuwa nacheza sana mpira ,lakin kutokana na life style sina mboyoyo nyingi sikuwa najua kama watu wananijua ...nililijua hilo baada ya kumaliza c'se ukikutana na mtu hata ambaye hukua na story nae shulen swali la kwanza ni bado unaendelea kucheza mpira.?. Kwa ujumla life style yangu...
  4. L

    ''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

    ...labda tatizo ni kwamba tulianza kama marafiki wa kawaida kama miez miwili au mitatu hv so kuna yale mazoea yalijengeka mwanzo ...pamoja baadae tulikuwa wapenz lakin bado yale mazoea ya kirafiki yapo na ndio imechangia kudumu muda wote huo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    ''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

    ..hiko unachosema ndio kinaniweka kwenye dilemma ,..nashindwa kumuacha aende kwa sababu sijui mbelen nitapata mtu wa aina gan ..at least huyu tayar namjua strength na weakness zake lakin hapo hapo kuna wakt naona kabisa najilazimisha kuwa nae had na yy ameanza kuhisi hivyo.. Sent using Jamii...
  6. L

    ''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

    Sikuwahi kufikiria kama tutadumu hata kwa miez sita..ilikuwa niamshe kisela nipite hiv sema mazingira na mazoea nikajikuta nipo had sasa hiv...na kiasi flani ni mwema kwangu ndio maana najifeel guilty kuna wakt kumuacha aende...kuna wakti had naombea yy ndiye aniache mimi Sent using Jamii...
  7. L

    ''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

    ..tumekutana wakati tayari nimeshapata kazi na yy ana kaz yake..kuhusu kuchangia mafanikio yangu hapana.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    ''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

    Ipo hivi,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakini toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano mwanzoni ilikuwa ni kama friends with benefits tu lakin yeye ndiye alichangia kwa kiasi kikubwa at least kufikia hapa ...
Back
Top Bottom