''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

Kukaribia 30 Ndo kuchelewa kuanzisha familia? Mi nadhani hujaelewa maana ya familia kuna msemo wa kiswahili kosea kujenga nyumba usikosee kuoa. Unadhani walimaanisha nn?
1. Usioe/usiolewe na mtu ambae moyo wako haujaridhia
2. Usikimbilie kwenye ndoa kisa umri umefika.
3. Usioe/usiolewe kisa umevutiwa na umbo shepu n.k
Umri sahihi wa kuoa ni upi labda? Tuanzie Hapo ila don't settle for less than what you deserve

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli kabisa two years afu huna hisia nae labda ana matatzo huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
...labda tatizo ni kwamba tulianza kama marafiki wa kawaida kama miez miwili au mitatu hv so kuna yale mazoea yalijengeka mwanzo ...pamoja baadae tulikuwa wapenz lakin bado yale mazoea ya kirafiki yapo na ndio imechangia kudumu muda wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume nyie, muwe na huruma, yani unadate na mtu for 2 yrs Kwa kujilazimisha duuh, kwann usimwambie ukweli mwanzoni kabla hamjafika mbali ili afahamu kabisa hamna future hapo. Huenda binti Wa watu anakutegemea mtafika mbali(ndoa) kumbe wewe unajilazimisha aisee

Anyways ndoa ni kifungo cha maisha, hivo usiingie Kwa kubip bip, hakikisha kweli mmependana na huyo mfungwa mwenzio. Kama unaona kabisa hutoweza kuendana naye huyo binti mwambie ukweli ataumia lkn atamove on, lkn ukikaa kimya mda utazidi kwenda mtafika miaka 3.. bila malengo yoyote tena.

Pia umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa ni ule ambao unajiona uko tayari na umepata mwenzi sahihi. So unaweza ingia ukiwa na 30s, or 20s nk. Ila Make sure umepata mtu sahihi.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
..ipo hiv,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakin toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ..ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano ...mwanzon ilikuwa ni kama friends with benefits tu lakin yy ndiye alichangia kwa kiasi kikubwa at least kufikia hapa ...sasa kwa kipind hiki mimi najiona nahitaji kuwa na familia kwa maana umri unaruhusu kabisa na kipato cha kumudu majukumu ya familia nashukuru kipo...sasa tatizo hata nikiwa naye sijifeel chochote yan...kuna wakt hata kwenye sex ili mzuka uje wa kutosha basi kwenye fikra zangu nimfikirie mdada mwingine(tuliwah kuwa wapenz na huyo tukaseparate,ameolewa kwa sasa) ndio stimu zinakuja za kutosha....lakin huyu ndio yupo around kwa sasa , ambacho kinanipa shida ni kwamba kwa sababu nahitaj kuoa je niendelee na huyu huyu ambaye tayri tushazoeana lakin moyon kwangu hayupo na nimeshajilazimisha sana kumpenda lakin still bado namchukilia poa tu au nitafute mwingine ambaye moyo wangu utaridhika naye ndio niingie kwenye ndoa (hapa nafikiria kuanza upya kumzoea mtu mwingine na mapungufu yake uyazoee) by the way I'm turning 30 may mwaka huu na najihis nimechelewa kuanzisha familia..hapa ndio pananipa shida ..ushauri please

Sent using Jamii Forums mobile app

acha kupanic brother mbona 30 bado kabisa u still have a window ya miaka mitatu mingine so usipate tabu. wewembwage tuu maana kumbuka mke ni for the remainder of ur life, so chukua kitu ambacho yaani ukimuona tuu mnara unasoma. achana na story za kijiweni kuwa wazuri sio wakuoa...itakula kwako kaka. wewe kaoe mwanamke mzuri ambaye full time mzuka upo ufurahie life.
 
Tafuta yule utakaekuwa na hisia nae ila namna ya kuvunja hyo ni ubunifu wako anza kupunguza mawasiliano mdogo mdogo.It hurts though na sio fair.i once was in a situation kama yako ila nilitafuta excuse toka kwake nikabwaga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke/Mume ni zaidi ya hisia...fikiria umepofuka macho kwa ajali na huwezi kujisaidia mwenyewe unafikiri ni hisia au upendo wa kweli ndio utakaokusaidia?
 
Haya sasa...
Kumuoa dada watatu hutaki, kumuacha nayo hutaki.

Miaka miwili ni mingi sana kukaa na mtu ambae unadai 'HUMFEEL' (sijui wenzangu mnawezaje😳😳) wakati the whole time yeye ulimuaminisha kinyume na hapo. Sasa umefika muda wa wewe kutaka kutimiza malengo yako binafsi (kuoa/familia) wala hutaki kujua yake ni yapi.

Just...stop being selfish and make a decision like a real man!!!
 
Ipo hivi,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakini toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano mwanzoni ilikuwa ni kama friends with benefits tu lakin yeye ndiye alichangia kwa kiasi kikubwa at least kufikia hapa .

Sasa kwa kipindi hiki mimi najiona nahitaji kuwa na familia kwa maana umri unaruhusu kabisa na kipato cha kumudu majukumu ya familia nashukuru kipo sasa tatizo hata nikiwa naye sijifeel chochote yani

kuna wakati hata kwenye sex ili mzuka uje wa kutosha basi kwenye fikra zangu nimfikirie mdada mwingine(tuliwah kuwa wapenz na huyo tukaseparate,ameolewa kwa sasa) ndio stimu zinakuja za kutosha

Lakini huyu ndio yupo around kwa sasa , ambacho kinanipa shida ni kwamba kwa sababu nahitaji kuoa je niendelee na huyu huyu ambaye tayari tushazoeana lakini moyoni kwangu hayupo na nimeshajilazimisha sana kumpenda lakini still bado namchukilia poa tu au nitafute mwingine ambaye moyo wangu

Utaridhika naye ndio niingie kwenye ndoa (hapa nafikiria kuanza upya kumzoea mtu mwingine na mapungufu yake uyazoee) by the way I'm turning 30 may mwaka huu na najihisi nimechelewa kuanzisha familia..hapa ndio pananipa shida ..ushauri please

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua muhimu utafutapo mwenza. - JamiiForums
 
Wanaume nyie, muwe na huruma, yani unadate na mtu for 2 yrs Kwa kujilazimisha duuh, kwann usimwambie ukweli mwanzoni kabla hamjafika mbali ili afahamu kabisa hamna future hapo. Huenda binti Wa watu anakutegemea mtafika mbali(ndoa) kumbe wewe unajilazimisha aisee

Anyways ndoa ni kifungo cha maisha, hivo usiingie Kwa kubip bip, hakikisha kweli mmependana na huyo mfungwa mwenzio. Kama unaona kabisa hutoweza kuendana naye huyo binti mwambie ukweli ataumia lkn atamove on, lkn ukikaa kimya mda utazidi kwenda mtafika miaka 3.. bila malengo yoyote tena.

Pia umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa ni ule ambao unajiona uko tayari na umepata mwenzi sahihi. So unaweza ingia ukiwa na 30s, or 20s nk. Ila Make sure umepata mtu sahihi.




Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu kwetu Tarime mkuu
 
Kukaribia 30 Ndo kuchelewa kuanzisha familia? Mi nadhani hujaelewa maana ya familia kuna msemo wa kiswahili kosea kujenga nyumba usikosee kuoa. Unadhani walimaanisha nn?
1. Usioe/usiolewe na mtu ambae moyo wako haujaridhia
2. Usikimbilie kwenye ndoa kisa umri umefika.
3. Usioe/usiolewe kisa umevutiwa na umbo shepu n.k
Umri sahihi wa kuoa ni upi labda? Tuanzie Hapo ila don't settle for less than what you deserve

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa likes 100
 
Kuliko uje umtese badae kwenye ndoa ni bora umuite uzungumze nae vizuri kwa upole mpka akulewe ikiwa bado haujachelewa hapo hata Mungu atakuelewa.
Heri nusu shari kuliko shari kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko kwenye situation kama yako umri wangu mm pia ni kama wako. Mwanamke niliyenaye mm naweza sema ana kila sifa ya mke mwema, tatizo likawa kama lako No feelings at all,,ilinisumbua sana akili nikajipa mda wa kufikiria wakat huo namtafutia sababu za kumwacha lkn wapp sikupata sababu yy ndo kwanza akazid kua mpole kwang,,nikafikir tena wakat huo miez inaenda nikaomba ushaur kwa wazoefu wa ndoa jibu walilonipa MKATAA PEMA PABAYA PANAMWITA mhh nikaona nalo neno wakat huo kuna videm vingine Nina mahusiano navyo,,, nikapima hali ya maisha ya sasa ilivyo nikaona bora kutumia akili kuliko kupelekeshwa na hisia,,, muda ukasonga akapata mimba tukapata mtto was kiume,,, kwasababu ss wote ni watumish serikalin maisha yanasonga tunamlea mwenetu bila matatizo,,,USHAUR,,kwa ww ni dhahir kabisa Huyo dada atakua anakupenda kwa dhat tatitzo atakua hajakidhi vigezo vya maumbile unavyovitaka ndio maana unadai huna hisia nae,,acha kuangalia maumbile zile ni nyama tu ,,,,uzur ni ubatili Bali mwanamke atakaemcha bwana ndie atakaesifiwa,, Ukimwacha utalipa machoz atakayolia utatanga na hii dunia mpaka uchoke mpenz yatakua kama mwiba kwako ,,,, NIMEMALIZA
 
Back
Top Bottom