Urusi kabla haijaitwa urusi wakati ikiitwa kiev rus iliwai kutawaliwa na mongolia kwani mongolia ndo ilikuwa wababe wa kipindi hicho.
Sasa mongolia ilikuwa unachukua kodi urusi ya kipindi hicho,walipoongeza Kodi ndo warusi wakaona isiwe shida ndo wakaanza kuzichapa na mongolia.
Mongolia ndo...
Habari wana jamii.
Kwa sasa natengeneza video clip za dk moja ambazo huelezea jambo flani.Maelezo ya video hizo hubeba falsafa kubwa sana ambazo zimeandikwa katika mtindo mwepesi ili kufanya kila mtu aweze kuelewa kutokana na ufahamu wake.
Lengo kuu ni kuelezea mambo ambayo mimi binafsi naona ni...
WhatsApp wanapata hela sana.
Kila unapotuma sms,kuangalia video,kutuma nyimbo nk kuna kiwango cha mb huwa unatumia.whatsapp wanachofanya ni kurekodi kiwango chako cha mb na kukibadilisha kwa kukipa thamani flani ya fedha,whatsapp hupata fedha hizo kutoka kwenye makampuni ambayo huusika na kuuza...
Unaposema hakuna Mungu wala shetani unamaanisha nini?Unatumia vigezo gani kusema Mungu na Shetani ni vitu ambavyo havipo?
Naomba nikusaidie kidogo kukuza ufahamu wako.
Katika ulimwengu wa leo kila kitu kinachoonekana hutokana na kitu ambacho hakionekani.Mfano mzuri ni kupanda mbegu na baadaye...
Lini mrusi alishindwa chechinia?
Nenda kamwangalie pale RAMADHANI KADROV.
Lengo la chechinia ilikuwa ni kujitenga so kusema URUSI ilishindwa manake leo hii chechinia ingekuwa ishajitenga.
Jeshi lipo karibu tangu miaka 50 iliyopita.Mazoezi hata wewe unafanya.swala ni kuvamia mana uwepo wa jeshi au kufanya mazoezi ni jambo la kawaida tu.
Majuzi walienda,ila wao wenyewe wakarudi na kujifanya walikosea njia so sitashangaa kesho wakisema walikosea kufanya mazoezi pia.
Action speak...
" am saddened when i see international community fall for these cheap tricks of NK"
So are you trying to say that u know more about NK than the international community? Devil is a liar)))))))
Pls i beg oooooo, ogaaa make me no laugh oooh))))
Talking about super power,USA IS A SUPER ECONOMIC...
You are both new to JF and AMERICAN PROPAGANDA.
You don't make sense at all,since anyhow is how,but your how is not how.You don't need anything just to know NORTH KOREA have a weapon of mass destruction.If KIM didn't, don't and won't have it, there will be no NORTH KOREA in this world.TRUMP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.