Recent content by Librarian 105

  1. Librarian 105

    Makocha wanaotisha zaidi Duniani

    Dah! Marcelo Bielsa simuoni. Au umeanza kufuatilia soka bada ya Ten Hag kuajiriwa Mwanitesa?!
  2. Librarian 105

    Tujikwamue kwa fikra za maendeleo dhidi ya fikra za kuogopa matatizo

    Salaamu wanajamvi, Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii. Ila huwa najiuliza kwanini huwa tunatumia nguvu kubwa mno kuanzisha vikundi vya kuzikana na shughuli za...
  3. Librarian 105

    Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
  4. Librarian 105

    Vijana tulio kwenye ndoa tujifunze kusuluhisha ndoa zetu wenyewe

    Sahihi kabisa. Ndio maana nimesema ni Kwa zile changamoto tu ambazo haziharibu misingi ya ndoa. Type hiyo, braza, utakuwa unaishi na mjasiriamali badala ya mwenzi.
  5. Librarian 105

    Vijana tulio kwenye ndoa tujifunze kusuluhisha ndoa zetu wenyewe

    Kweli we ni mjomba fujo :eek::AnimePls:
  6. Librarian 105

    Vijana tulio kwenye ndoa tujifunze kusuluhisha ndoa zetu wenyewe

    Hakuna ndoa isiyo na mitihani na mikwaruzano. Kinachovunja ndoa nyingi ni mke au mume kuwa kispika cha kueleza changamoto za mwenzi wake kwa ndugu na jamaa bila kujali wakati sahihi wa kufanya hivyo. Akisahau hata huko anakokwenda kutafuta msaada nako huenda moto unawaka zaidi kuliko ndani ya...
  7. Librarian 105

    Mustakabali wa Gen Z East Africa

    Au naona iitwe Gen Chawa au Gen C
  8. Librarian 105

    Mustakabali wa Gen Z East Africa

    Dah! Gen M
  9. Librarian 105

    Mustakabali wa Gen Z East Africa

    Lazima watimke kutokana na na hali ya utulivu na Amani kutoweka mkuu.
  10. Librarian 105

    Mustakabali wa Gen Z East Africa

    Na kubet mkuu. Yanaitwa mashamba ya mjini bila mtaji mkubwa
  11. Librarian 105

    Mustakabali wa Gen Z East Africa

    Hili vuguvugu la harakati za Gen Z lililoanzia Kenya kisha kuhamia Uganda hivi karibuni. Ni kiashiria cha mahitaji ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yenye kupiganiwa na vijana. Kwa vile mifumo na sera za fedha na ajira limegeuka kupe dhidi yao katika maisha ya kila siku. Walakini viongozi...
  12. Librarian 105

    Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

    Elimu ni ufunguo wa maisha : hapa hapana budi kuielewa vema falsafa hii ya wahenga. Na kipaji ni talanta yenye kutoa ramani ya maisha yako. Kwa mtazamo wangu, kipaji na elimu, ni Sawa na Chanda wawili katika safari ya kuitafuta Kesho yako iliyo bora endapo utawatumia vyema. Nawasilisha..
  13. Librarian 105

    Rais Biden na shinikizo la kujiuzulu

    Kweli ingekuwa kwetu Afrika vyuma vingeumana
  14. Librarian 105

    Rais Biden na shinikizo la kujiuzulu

    Kifupi naungana na Wanachama wanaotaka aachie madaraka na kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwa mshindani wa Trump. Hadi kufikia hatua ya kutaka kumbusu mwanamke mwingine akidhani mkewe Jill, mzee amechoka hakika Kwa maradhi basi tu anashinikiza kutaka kugombea urais Kwa muhula mwingine
Back
Top Bottom