Recent content by LibraOne

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeweka likizo alikuwa na lengo gani?

    Jibu zuri sana hili...tatizo maana halisi kwasasa ya likizo hakuna!watoto wanaachiwa mno kuzurura,kuangalia Tv muda wote na si kukaa kujikumbusha yale waliyojifunza...sasa bora tu wawe wanakaa shuleni..
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeweka likizo alikuwa na lengo gani?

    Heri tu wawe wanakaa huko shuleni kuliko kutwa kuwaacha wanashinda kuangalia Tv na kukariri Mashairi ya Baba Lao badala ya kujikumbusha masomo!Wazazi wameshindwa malezi bora Serikali iwasaidie[emoji2][emoji2][emoji2]
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake huvutiwa na kitu gani kwa mwanaume ukiachana na pesa?

    [emoji1][emoji1][emoji1]Wanawake hata haieleweki Kaka zangu wanataka nini hilo msijisumbue...We mpende,mjali na mthamini!Haya mengine mbwembwe tu na kama asiporidhika huyo ana matatizo yake!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nywele za kifuani mpaka tumboni kero kubwa napata shida

    [emoji51][emoji51][emoji51]aisee punguza ndugu...[emoji85][emoji85][emoji15][emoji849]
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wowote kutoboa masikio?

    Kwa wazazi wetu na tulivyolelewa huo unaonekana uhuni wa hali ya juu...na hata mimi nikikutana na mtu wa staili hiyo namuona wa ajabu sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji19]
  6. L

    JamiiForums Tanzania Vodacom msijisahau, kuweni washindani

    ingia google search engine...ukiwa unaingia kwenye simu kuna meseji huwa inakuja pale na kitu kama link....sasa paste ile link hapo na usearch...utaona moja kwa moja details za kadi yako zinatokea...save na hakikisha humuoneshi mtu kwa usalama zaidi.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Foldable smart phones: Simu janja zenye uwezo wa kukunjika kirahisi

    Tsh ngapi vile?[emoji85][emoji85][emoji1][emoji1][emoji1]
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji mtihani wa taifa darasa la 4 Geita Vijijini 2019

    maovyoovyo tu[emoji19]
Back
Top Bottom