Mwalimu Nyerere, Alhaj A.H Mwinyi, Brother ben wote walikua na watoto na wake zao.. lakini hii familia iliyopo pale mjengoni Ferry kwa kweli tulikosea 2005, Mama nae anajiigiza kwenye siasa, Mtoto nae vurugu tupu....mama ni kiraza baba i cant believe kama kweli ni graduate kwa jinsi alinvyo...