Habari za siku mingi wakuu, Nina hii ndoto inanikosesha amani na sielewi ni nzuri au mbaya
Nimetoa ni mchana ila kutazama juu nikaona mwezi ndio upo wakati natembea nikagundua mwanga ni mweupe wa mbalamwezi badala ya ule wa jua tuliouzoea na watu wakaanza kunikagua na kunishangaa nimemulikwa na...
Hiyo ni karama yako uliyopewa na Mungu kuwasaidia wengine cha msingi kuwa makini kuwasaidia wale wenye shida kweli
Kutoa ni kuzuri mno wewe unawasaidia wengine hata kama hawatakusaidia pia ila Mungu atakupa msaada kwa namna ya tofauti usiache kutoa kwa ajili ya wenye uhitaji endelea ila tu uwe...
Naongezea hapo wengine wanakua na maneno matamu sana mpaka mwanamke ana fall kwa jamaa then wanaanza visa kila kukicha tatizo Huwa liko wapi?
Wanaume majibu tafadhali
Wapo wanaoumwa sana tu wanadai wenye michango mikali kuna rafiki yangu ilikua hadi analazwa kila mwezi na anakua anaumwa serious mpaka alipopewa dawa ya mchango ndio akapona
Dawa ya mchango nayo ulinywa kubeba mimba ni nje nje
Mwambie akae chini aongee na mchumba wake kuhusu hilo manake inawezekana huyo Dada kamuhisi jamaa ni mshiriki wa tigo kutokana na story labda alizowahi kusikia kuhusu watu waendao huko au huyo mdada ndio mshiriki wa tigo hivyo anamwambia kwa vitendo
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.